Nampenda boss wangu nifanyaje anitoke akilini?

Nampenda boss wangu nifanyaje anitoke akilini?

unampendaje? just friendly, au kimahaba.....kumbuka ni boss wako huyo.....aidha mpe then acha kazi,,,au komaa kimya kimya....
 
Ngoja nikusaidie: hujampenda boss, umependa hela alizonazo na cheo.. Vumilia akifulia utamchukia hadi utaacha kazi mwenyewe!!
 
I fired my receptionist the past two months. Alionyesha ujinga nikaona nimfukuzie mbali. Mapenzi kazini yanapunguza tija. I hope im not ur boss

kwa kweli you are not.Kazi nachapa kama kawaida.
 
Mpe tigo Kama hujawahi. Akikupiga mara moja, yale maumivu shoga hutamuwaza tena.
 
Ngoja nikusaidie: hujampenda boss, umependa hela alizonazo na cheo.. Vumilia akifulia utamchukia hadi utaacha kazi mwenyewe!!

Hata mshahara anaopokea sijui ni shilling ngapi!!!sijui hata anaishi vipi.Ninachojua Boss ni player hko ndicho ninachojua
 
Back
Top Bottom