Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
thank uuu..mhhhh!!!
yeahhhhhhh!!!!!
thank uuu..mhhhh!!!
itabidi utafute mtu mwengine umpende!!
Je,sura yako inalipa???
Tusije tukakushauri vibaya ukapoteza kibarua
na mtaani hata wa kukupa salaam hukuna.
We mwanamke mwanaumee???? Kama ni men tupia mistari kami wmen mtege?
mwagize mwenzako ukutane na boc akikuelewa mpe mzigo ili upunguze mawazo....ukishindwa nitafute ata mm ni boc kwa ofcNampenda boss wangu nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha.Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia. Nifanye nini anitoke?
Je,sura yako inalipa???
Tusije tukakushauri vibaya ukapoteza kibarua
na mtaani hata wa kukupa salaam hukuna.
We unataka kugegedwa tu?tatizo sihitaji mahusiano kwa sasa..
N rahis xana muombe Mungu akuondolee tamaa za mwil wako ofis n kaz na c mapenzi umeenda kufanya kazi ukijiingia ktk hayo mambo kazi hazitaenda mtaanza kufanya kila kitu km wapenzi kuwa makin
We unataka kugegedwa tu?
Nampenda boss wangu nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha.Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia. Nifanye nini anitoke?
tatizo sihitaji mahusiano kwa sasa..
jaman mimi sitagi mtega..nataka anitoke tu