Nampenda boss wangu nifanyaje anitoke akilini?

Nampenda boss wangu nifanyaje anitoke akilini?

Aaah... mama kesho hakikisha unanikabidhi funguo za ofisi yangu na mafaili yote tilia mezani tutaonana siku ukikiri upendo wako kwangu.... sawa mama eeh
 
Nampenda boss wangu..nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha..

Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia..nifanye nini anitoke

Unajua kuwa kuna tofauti kati ya kupenda na kuwa na nyegge?
 
Hujatuambia kama boss wako ana mke au laa,na pia kama wewe una mume au laa, kama wote mpo single na unampenda sasa si unamwambia tu???

Funguka tuu...love is a democracy .....
 
mtongoze kwanza jibu atakalokupa lirudishe nkushauri tena
 
tatizo sihitaji mahusiano kwa sasa..
womanity kama huhitaji mahusiano kwa sasa basi huwezi kuwa na feelings za mapenzi kwa mtu. Unless Kipo unachelenga kukipata toka kwa Huyo boss wako.
 
Last edited by a moderator:
Hujatuambia kama boss wako ana mke au laa,na pia kama wewe una mume au laa, kama wote mpo single na unampenda sasa si unamwambia tu???

Funguka tuu...love is a democracy .....[/QUOTE

love is democracy!!!nimeipenda
 
womanity kama huhitaji mahusiano kwa sasa basi huwezi kuwa na feelings za mapenzi kwa mtu. Unless Kipo unachelenga kukipata toka kwa Huyo boss wako.

kupenda hutokea tuu Birugube.huyu mtu hana vigezo vya kuwa yule ninayemuhitaji.
 
Last edited by a moderator:
Nampenda boss wangu nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha.Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia nifanye nini anitoke.
Sema na moyo wako mkuu..
 
Aaah... mama kesho hakikisha unanikabidhi funguo za ofisi yangu na mafaili yote tilia mezani tutaonana siku ukikiri upendo wako kwangu.... sawa mama eeh

unasound kama boss mwenyewe vile
 
Back
Top Bottom