Nitakufukuza kazi very soon
jitahidi tu kumkwepa sio ishu kumvulia pichu boss, baadae maumivu yatakayofata utajuta kumfahamu...acha!!!
Leo tu ndo huja tania
I fired my receptionist the past two months. Alionyesha ujinga nikaona nimfukuzie mbali. Mapenzi kazini yanapunguza tija. I hope im not ur bossNampenda boss wangu..nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha..
Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia..nifanye nini anitoke
Njoo kwangu acha kumbwera na mabosi.
tatizo sihitaji mahusiano kwa sasa..
Nampenda boss wangu..nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha..
Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia..nifanye nini anitoke
jitahidi tu kumkwepa sio ishu kumvulia pichu boss, baadae maumivu yatakayofata utajuta kumfahamu...acha!!!
I fired my receptionist the past two months. Alionyesha ujinga nikaona nimfukuzie mbali. Mapenzi kazini yanapunguza tija. I hope im not ur boss
Nampenda boss wangu..nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha..
Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia..nifanye nini anitoke
Nitakufukuza kazi very soon
haha,,ya bosi yashakukutaga nn? ujambo lkn
sijambo za siku nyingi...
aaah sijawahi kuthubutu mie michezo yangu nacheza mbali huwa sichezei kambini eti ofisini, darasani nop plzzz