Nampenda boss wangu aliyeniajiri

Nampenda boss wangu aliyeniajiri

Sijui uhalisia wa hii post lakini kama kuna kosa kubwa utafanya katika maisha yako ni hilo unaloliombea ushauri
-anaweza kuona dalili na akatia timu lakini kubali kifuatacho ITV
-anaweza kuwa mweledi na mwenye msimamo akakufukuza kazi
-anaweza kuwa ni fisi maji ukaishia kuumia
Epuka mahusiano na mtu anayekulipa mshahara

Yaani mshana jr; Umempa ushauri murua kabisa. Ulienda kutafuta kazi, ukakuta wenzio waliokutangulia. Iweje weye ujione ndo champion kidume??
Tulizana na uutulize huo mzuka. Huenda hii ndo njia ya kukumwagia kibarua. Penzi halihitaji kusukumwa huwa linajiotea lenyewe, Hakuna penzi la kichina duniani.
Boss kutaniana na wafanyakazi mbona kawaida tu. Usimchukulie rahisi kihivyo. Mpe zawadi yake siku ya BD ondoka zako jifanye hujisikii vizuri na keshoye chelewa kazi uone reaction yake ndipo uamue
 
Sidhan kama kwa matendo hayo ni dalili ya kupendwa labda. Uendlee kufanya uchunguzi bado ni mapema sana
 
Nunua kadi ya mapenzi umpatie na zawadi nyepesi kama perfume au mkufu. Kadi iwe na ujumbe mwepesi tu kama I cant get you out of my mind au I need you, au I find you so attractive and I wish I had someone like you n.k
Funga vizuri kwenye boksi la zawadi na umpatie kwa mkono wako and wait.
 
Griiiiii mringie acha kiwaza umetakwa ole wako HAPA KAZI TU | KAMA VIPI JILIPUE MWAMBIE
 
wewe dogo fanya kazi acha kuwaza ngono na mabosi wako, naona umeichoka hiyo kazi.

wewe jilengeshe wakati unakula chips mayai afu usimgegede vizuri uone atakupiga warning letter mfululizo
 
Aisee huo mstari wa mwisho umenichekesha sana mkuu.
 
Duuu...kiukweli huyo Dada Ana kupenda sema iyo position yake kama inamzuia Na hapendi kujionyesha besides kwanza kumbuka naye Ni mwajiri kama Wewe tu Hapo sema position tofauti...Wewe vaa Sura Ya Mugabe. Mueleze wazi but usiandike sms wala barua...mwalike Dinner or something like that...MPE Ukweli..Na ukianza kutoa wasi kuhusu yule Mdada wa kwanza.....Yaani wala usitishwe Na U- HR wake kwani yeye Hatamani??? Wanawake ndivyo tulivyoo malingo kidogo but tunaumia....Halafu hujatwambia kuhusu yule mdada wa Mwanzo...sio kwamba unataka kumtosa kwa jili ya HR kwa kuangalia Kipato..Maana wakaka wa Siku hizi Baba..OK..nasubiri jibu..bado sijalala
 
Yule mdada wa kwanza yupi? Niliemualika kwenye event yetu? Kama ni huyo ni rafiki tu hata siko na mahusiano yoyote zaidi ya urafiki.
 
Okay...Sasa achana Na mambo mengine Wewe data ushauri wangu then utanambia.....utampata kiulaini..pia urudi hapa kwa mrejesho
 
Mkuu ilikuwa kama hii yangu?? Nikdokeze mkuu nichukue tahadhari
ilikua hivi ajira yangu ya pili nilipata kampun mmoja hivi bahati mbaya au nzuri HR Maneger alikua muhaya mmoja mmama kama mtu mzima ila hawa wamama wa mjini.

kichwani alikua vizuri anamisimamo hatari. Mama sia akataka kiserengeti boys yaani kimimi hapa sasa kwa uoga siku mama ananitunuku mzigo nyumban kwake maana alikua anaishi mwenyewe

kwa uoga sijui panic sijui nimechezea weeee nimenyonya kila utundu nimefanya sasa nataka kuingiza mweeee dudu ikagoma kusimama ikalala chaliiiiiiiii mama akaibembeleza weeee wapi nilikua naishi home ikabidi niondoke. kilichofata najua mwenyeweee
 
Mkuu ebu malizia ikawaje??
 
Back
Top Bottom