Nampenda boss wangu aliyeniajiri

Nampenda boss wangu aliyeniajiri

Kuna nyakati kwenye maisha yetu...tunatakiwa kutambua namna ya kudeal na hisia zetu......hasa katika mazingira ambayo si muafaka kwa hilo unalotaka kulifanya......,
Na njia muafaka ya kudeal na hali hiyo na kuangalia ni kuangalia hasara na madhira ya wewe kutenda hilo ambalo hisia zako zinakutuma kulifanya........

Hisia za matamanio ni za kawaida kwa kila mwanamume aliye kamirika.....lakini si lazima kukidhi kila haja za matamanio hayo.......na huo ni ukomavu wa kiume......

Unatakiwa baadhi ya mambo uyapuuzie kwa manufaa ya mambo mengine muhimu zaidi kwenye maisha yako.......

BE A GENTLEMAN......
Huu ushauri uçhukue mkuu.Usipoangalia na kibarua kitaota nyasi
 
SIMPLE:
Fikisha ujumbe indirect;
Jifanye unamuuliza swali hili..''HR wewe kama binadamu unajua kuna kupenda,na kupenda sio kosa,upendo hauchagui sura,rangi,kabila wala umri..je ikitokea umempenda boss wako utamwambia au utakaa kimya?..na kama utakaa kimya je ni kwann umeamua hvyo?...naomba ushauri tu maana yule binti niliyekuja nae ktk event ya ofisin kwetu ni mmiliki wa kampuni flani ndogo ya ushonaji na amependwa na mfanyakaz wake...kaniuliza nimekosa jibu hvyo naomba ushauri wako nimjibu vp?''''
UKIMUULIZA HVYO WALA HATOKUFUKUZA KAZI ILA UJUMBE UTAMFIKIA KWANI YEYE SIO MTOTO..NA AKIONYESHA KUCHUKIZWA NA SWALI LAKO NAWE JIFANYE KAUZU HUNA TIME NAE NA UFUATE ILE KAULI MBIU YA '''HAPA KAZI TU''
 
Ushauri wako nimeupenda sana mkuu. Ndo maana jambo ili nimelifikisha hapa kupata ushauri
 
Macho yako yanaweza kueleza hisia zako kwake.
Tumia viungo vyako ipasavyo.
 
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako kama unampenda mtu unasubiri nini kumwambia?Wewe mwambie ili uwe na peace of mind sio uishi kwa kuwaza kila siku
 
Ni mapema sana mkuu kumfungukia huyo mdada.
Kuna njia nyingi za kumtongoza mwanamke lkn tumia indirect way hii itakuwa poa sana sbb huwez kujua anafikiria nn unaweza kumfungikia ikaleta shida.
Njia nzuri kuwa naye karibu, mpe zawadi kifupi mjali kama mpenzi wako ila usithubutu kumtongoza. Epuka zile zawadi za i love n.k
Ukifanya hayo niliyokueleza yy mwenyew atangia kweny line.
Jenga naye mazoea ya kawaida kbsa ila usisahau kumjulia hali kwa siku hata mara 4
ukimtongoza sasa hiv inaweza kula kwako na urafiki wenu ukafa
 
Mapenzi kazini si jambo zuri.jaribu kuepuka itakusumbua ukizingatia yeye ameshika mpini
 
Ni mapema sana mkuu kumfungukia huyo mdada.
Kuna njia nyingi za kumtongoza mwanamke lkn tumia indirect way hii itakuwa poa sana sbb huwez kujua anafikiria nn unaweza kumfungikia ikaleta shida.
Njia nzuri kuwa naye karibu, mpe zawadi kifupi mjali kama mpenzi wako ila usithubutu kumtongoza. Epuka zile zawadi za i love n.k
Ukifanya hayo niliyokueleza yy mwenyew atangia kweny line.
Jenga naye mazoea ya kawaida kbsa ila usisahau kumjulia hali kwa siku hata mara 4
ukimtongoza sasa hiv inaweza kula kwako na urafiki wenu ukafa
Mkuu nimekupata, unajua na zawadi niliyokuwa nimemnunulie Ebay ina maadishi ya ilove you so nisimpe itaharibu utaratibu?
 
Habari za jioni guys,

Tafadhari naomba mnisaidie katika ili, naomba niseme wazi mimi siyo timbulo.

Miezi mitatu iliyopita nimeajiliwa na kampuni moja hivi hapa mjini, hiyo kampuni ni ya wahindi na huyo dada ndo HR wa hii kampuni. Baada ya kuajiliwa nilimtumia ujumbe (txt) kumshukuru kwa kuona mimi naweza kufanya nao kazi, akanijibu kwa text akinileza ni jambo la kawaida katika maisha kikubwa ni focus kwenye kazi.

Katika mazingira ya kawaida nimejikuta naanza kumpenda kimapenzi na ninahisi hata yeye ananipenda pia, kwanini nasema na yeye ananipenda pia? Kuna siku tulikuwa na event hapa ofini kwetu mialiko ikatolewa kwa watu mbalimbali na nikamwalika rafiki wangu mmoja wa kike siyo mpenzi wangu wakati wa hafla ikiendelea nilikuwa na huyo rafiki yangu muda mwingi akanifata na kuniuliza mbona umemganda sana huyu dada, kuna mfanyakazi mwenzangu wa kike akamjibu ni wifi yetu huyo, akajibu muwe mnasema jamani akaondoka.

Kesho yake ofisini ikawa story kuhusu mimi na huyo wifi yao waliyenipatia.

Siku nyingine ikatokea safari nje ya mjini ya siku mbili tukatoka mimi, yeye na dereva jioni sasa wakati wa kutafuta hoteli ya kulala, bahati mbaya hotel tulipoenda tukakuta nafasi moja tu yeye akaichukua mimi na dereva tukaenda kutafuta mahali pengine tukaagana turudi pale tukishapata ili tukale chakula pamoja tukakubaliana hivyo.

Muda mchache akanipigia simu akakuta simu inatumika naongea na mtu, baada ya kukata akanipigia tena na akaniuliza ulikuwa unamuaga wifi nini? Na siyo mara moja kuniuliza hivyo nikamjibu mimi nipo single akacheka akaniuliza mmepata room nikamwambia yah! Akasema mje basi.

Nisiwachoshe ni mambo mengi sana, naomba mnisaidie ni jinsi gani ya kumfikishia ujumbe kuwa nampenda maana naogopa maana naweza kumweleza hilo jambo likazua mambo mengine mabaya maana natafuta maisha, niliwahi kumwalika chakula cha jioni akaniambia amechoka siku hiyo ana kazi ya ufuaji hivyo haitowezekana kwa siku hiyo

Uwa nachat nae na kumpigia simu nikitaka kuongelea hayo mambo uwa ananirudisha kwenye maswala ya kazi hata kama hamko kazini

Kuna siku nikamtext wasup kuwa kuna zawadi nimekununulia akataka kuijua zawadi nikamwambia no utaijua siku nikikupatia akasema poa!

Na uwa ananiambia anajua kupika sana, nikamuomba apike siku moja anialike akasema atapika siku ya kuzaliwa kwake na atatualika staff nzima nikamuuliza itakuwa lini? Hakuniambia akasema ni suprise, sasa nikawaza niifanye siku hiyo ya kumweleza hisia zangu kwa kumpelekea zawadi itakayokuwa inasema hisia zangu kwake je ni ipi wadau nisaidieni nampenda sana.
Ushahidi ulioleta kuwa unapendwa ni dhaifu.
Mapenzi sehemu ya kazi ugharimu baadaye. Piga kazi, pata pesa then wekeza.
Neno langu sio sheria, ni ushauri tu.
 
SIMPLE:
Fikisha ujumbe indirect;
Jifanye unamuuliza swali hili..''HR wewe kama binadamu unajua kuna kupenda,na kupenda sio kosa,upendo hauchagui sura,rangi,kabila wala umri..je ikitokea umempenda boss wako utamwambia au utakaa kimya?..na kama utakaa kimya je ni kwann umeamua hvyo?...naomba ushauri tu maana yule binti niliyekuja nae ktk event ya ofisin kwetu ni mmiliki wa kampuni flani ndogo ya ushonaji na amependwa na mfanyakaz wake...kaniuliza nimekosa jibu hvyo naomba ushauri wako nimjibu vp?''''
UKIMUULIZA HVYO WALA HATOKUFUKUZA KAZI ILA UJUMBE UTAMFIKIA KWANI YEYE SIO MTOTO..NA AKIONYESHA KUCHUKIZWA NA SWALI LAKO NAWE JIFANYE KAUZU HUNA TIME NAE NA UFUATE ILE KAULI MBIU YA '''HAPA KAZI TU''
Mkuu jangala nimemuuliza kanijibu hii

"akae kimya... coz hayo ni matamanio ya mwili tu."
 
Mkuu jangala nimemuuliza kanijibu hii

"akae kimya... coz hayo ni matamanio ya mwili tu."
Mwambie....hapo unachotaka kujua ni kuwa kumpenda mkuu wako wa kazi ni kosa au la?....pia mwambie hivi yule dada anataka kumfukuza kazi huyo jamaa kisa kamwambia hisia zake....je huyo dada anachotaka kukifanya yuko sahihi?...Atakachokujibu ndo atakachokufanyia wewe ukimtongoza..
 
Back
Top Bottom