Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

Na ww mtumie picha zako aone uchi wako kabla ya mpambano
 
Ni takriba miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike,gafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked,ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashndwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye hivyo,nifanye nini kwa hali kama hii?

Kemea haraka hilo pepo la ngono, huwaoni wengine zaidi ya cousin yako?
 
Umesema ni mtoto wa shangazi sijui dini gani lakini kama Islam unaweza kumuoa sasa baada ya kuonja onja bora umuoe kama dini ina ruhusu,la sivyo basi tafuta wengine huyo nimdowako...........mlinde kwa macho yako yote......

Nilitaka kuushauri hivi hivi. Asante dear kwa kumpa advice inayofaa.Thanks.
 
Kemea haraka hilo pepo la ngono, huwaoni wengine zaidi ya cousin yako?

Haswaa Amen. Honestly ilishawahi kunitokea na Mimi hii issue , Mama yangu alikuwa anapenda sana sana kaka yangu Mtoto Wa mjomba wangu aje kuwa mume wangu baadae. Kwa sababu ya maadili yake . Mama yangu na mjomba wangu ni mama mdogo na mkubwa .Kuna kipindi na yeye Cousin aka Brother wangu alikuwa hakuweza kuficha tena siri akaniambia anavyojisikia . Hatukuweza kuwa pamoja , kabisa . so ni Kweli sometimes ni pepo , huyo . But kama dini zenu zinaruhusu kiimani , basi badala ya Ku date nakupotezeana muda ni bora muoane , but to me honestly is yuck, yuck God forbid . Ila ishawahi kutokea hiyo issue kwa upande baba yangu , na wakafunga ndoa , kwa sababu iman zao ziliruhusu ila kitu kimoja Ndoa za namna hii huwa zinakuwa na migogoro sana kuliko za kawaida , mungu atusaidie kwa Kweli.
 
Humpendi ila umemtaman halaf hizo.naked pics ndo zilizokuchengua au nyote bado.watoto mkikua mtaacha na.huyo alikutumia picha zake akiwa naked hajajua thaman.yake siku akijua atakua kishachelewa sana na.halaf imagine ww umetumiwa picha hizo.chaf jua wapo wengine aliowatumia hivohivo shame!!

Haswa Mama FB umenena. I love you dear. Ni kuwaombea tuu pepo or shetani liwatoke . Thanks!
 
Sijui kwa nini huwa mnajitaabisha kushauri vichwa maji kama hawa...

Huyu anatambua kabisa kwamba afanyalo si sahihi ila tu anazingua watu...

Otherwise ni porojo tu ambayo pia lengo lake ni kuzingua watu pia...
 
Ni takriba miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike,gafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked,ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashndwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye hivyo,nifanye nini kwa hali kama hii?



Laana inakutafuta ndugu yangu!, inamaana picha zimekufikisha mbali hivyo. Ukiona kuku wameanza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe jua ni hatari sana.
Tafuta nje huko, mbona wapo wengi
 
Binamu mbona ana mitego!

Au unaficha?

Isijekuwa mnajuana nyie
 
Wewe mamaafacebook,najitahid sana kukwepa lakini imeshindikana na nilishafanya nae kwa mara ya mwanza na akanifikisha haswa so nifanye nini?
 
wakaka wenzangu hivi mkitongozwa na binam zenu hivi mtachukua hatua gani??? bila mpambe wala nini???
 
haswaa amen. Honestly ilishawahi kunitokea na mimi hii issue , mama yangu alikuwa anapenda sana sana kaka yangu mtoto wa mjomba wangu aje kuwa mume wangu baadae. Kwa sababu ya maadili yake . Mama yangu na mjomba wangu ni mama mdogo na mkubwa .kuna kipindi na yeye cousin aka brother wangu alikuwa hakuweza kuficha tena siri akaniambia anavyojisikia . Hatukuweza kuwa pamoja , kabisa . So ni kweli sometimes ni pepo , huyo . But kama dini zenu zinaruhusu kiimani , basi badala ya ku date nakupotezeana muda ni bora muoane , but to me honestly is yuck, yuck god forbid . Ila ishawahi kutokea hiyo issue kwa upande baba yangu , na wakafunga ndoa , kwa sababu iman zao ziliruhusu ila kitu kimoja ndoa za namna hii huwa zinakuwa na migogoro sana kuliko za kawaida , mungu atusaidie kwa kweli.

thanks
 
Back
Top Bottom