Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

Wewe mamaafacebook,najitahid sana kukwepa lakini imeshindikana na nilishafanya nae kwa mara ya mwanza na akanifikisha haswa so nifanye nini?

Ndo mana mkatumiana naked pics enh???? Na wewe ukawa unaona raha kuziangalia eish mtu anaetuma naked na alietumiwa wote nawaona akili zenu.ziko robo kudhalilishana tu wenyewe mnaita mapenzi hebu mie
 
yaani nakufahamu kwa jinsi ulivyo. each and everything

Lol ushindwe halaf upotee kabisa maana unapoelekea sipo unanifaham mim?? Maybe uwe unatumia id nyingine ila anenifaham jf. Ni watatu tu
 
Inawezekana nikweli ila wote mnatakakana shenzii kabisa
 
Inawezekana wewe ndiye unayemtafsiri vibaya huyo nduguyo kutokana na moto wa tamaa uliolipuka ndani ya nafsi yako...........huku ukiongozwa na slogan ya binamu kinyama cha hamu hiyo ni misemo ya mafirauni ambayo huitumia katika kuharalisha ushenzi wao.........badili mind yako kuhusu huyo nduguyo mchukulie kama dada yako wa tumbo moja......hebu jebu picha utaificha wapi sura yako shangazi yako aje afahamu kuwa unatembea na mwanawe...???...utawaambia nini wanandugu endago utampa mimba huyo binamu yako......ondoka kwenye fikra za kifedhuri vaa ubinaadamu......wanaadamu tumepewa ustaarabu na ndio maana tukatofautiana na wanyama.....JITAMBUE........Hebu fungua macho yako na utoke nje ya box uone dunia ilivyojaa warembo wa kila aina.....
 
Mkuu kama hautajali nitumie hizo pics zake na namba zake kwanza ili nijiridhishe b4 sijakushauri mkuu
Do it for your own benefits
 
Umesema ni mtoto wa shangazi sijui dini gani lakini kama Islam unaweza kumuoa sasa baada ya kuonja onja bora umuoe kama dini ina ruhusu,la sivyo basi tafuta wengine huyo nimdowako...........mlinde kwa macho yako yote......
Kwani Islam wanaruhusu kuwowa binamu? Nilikuwa sijui hilo
 
Ni takribani miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike, ghafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked.

Ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashindwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye hivyo, nifanye nini kwa hali kama hii?

Hajajua wewe ni binamu yake kwani katika hali ya kawaida haiwezekani umesaliana naye then mara anakutumia pix no haipo weka sawa stori.
 
Sasa huoni utajishushia heshima kumdate binamu yako
 
Back
Top Bottom