Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

Humpendi ila umemtaman halaf hizo.naked pics ndo zilizokuchengua au nyote bado.watoto mkikua mtaacha na.huyo alikutumia picha zake akiwa naked hajajua thaman.yake siku akijua atakua kishachelewa sana na.halaf imagine ww umetumiwa picha hizo.chaf jua wapo wengine aliowatumia hivohivo shame!!
 
Mmmmh kama wee mhindi wa bombeyi ruksa kama sio usilame kisu kwa ulimi
 
mh! asa mpaka mmefikia hatua ya kutumiana picha za uchi, si ina maana mna interest moja ya kugegedana?unataka ushauri gani wakati mazingira mliyowekeana yanaonesha dhahir kuwa mnataka kugegedana! endeleeni tu
 
Halmashauri ya vichwa vyangu imekataa kabisa kuamini nilichosoma sijui kwa nn

Hata mimi kurugenzi ya habari na mawasiliano mjengoni mwa mkulu wa kaya inakataa kuamini habari hiyo .
 
hahahahahaha tena achovye kweli kweli agah,siwajua mtoto akilia wembe we mpe panga kabisaa,nyegezi izo na tamaa za msumbua

Ahha ila hili suala la kutumiana picha mko naked limekaaje yaan.unaanzaje kujifotoa umtumie prince charming kwa msingi upi iweje halaf lol wanawake ndo mana hatuthaminiki kila.siku thaman yetu inashuka kwa mambo.ya kijinga tu
 
Usithubutu kutembea na mwanamke asiye wako,ukifanya hivyo Maandiko yanasema wewe ni mpumbavu
na hauna akili.
 
Hata ukiziona pic za utupu za dada yako utamtamani..... hovyooooooooo
 
Back
Top Bottom