Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,627
koh koh clearing throat,niushamba na ulimbukeni,alafu unakuta mtu anajifotoa mipicha akiwa naked huyo mwili sasa kama mbavu za sungura,nakwanza ukimtumia unapata faida gani zaidi yakujizaliliza nakujishusha thamani agah,kuna rafiki yangu mmoja ivi yaani kawapiga picha mademu zake wako na vyupi na bra jamani jamani mapenz haya mmmmh
Ahha ila hili suala la kutumiana picha mko naked limekaaje yaan.unaanzaje kujifotoa umtumie prince charming kwa msingi upi iweje halaf lol wanawake ndo mana hatuthaminiki kila.siku thaman yetu inashuka kwa mambo.ya kijinga tu