poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 453
- 175
Habari wadau wa Jukwaa la Teknolojia.
Nina simu ya Samsung Galaxy Note 3 Neo (SM-750L) ambayo nimeiroot kwa muda mrefu tu lakini sasa nataka kuweka Xposed Framework.
Kwanza sijajua namna ya kuweka hiyo kitu. Nimejaribu kupitia Tutorial kadhaa nimeshindwa kuelewa vizuri.
Kuna njia moja nimeona ni lazima kwanza uweke CWM au TWRP kwenye simu yako.
Hapo kwenye CWM/TWRP nimejaribu kutafuta yenye kuendana na simu yangu nimekosa.
Sehemu nyingine nimeona unaistall tu hiyo Xposed Framework na kuanza kuifanyia kazi. Njia hii nimejaribu hakuna badiliko lolte nililopata.
Kwa wenye ujuzi naomba mmnielekeze kufanikisha zoezi hilo.
Natanguliza shukrani zangu.
cc Chief-Mkwawa