Namna ya kuweka Xposed Framework kwenye simu

Inamaana flashing ya iyo twrp imefel na imesababisha bootloop.

Rudisha stock rom kutoa hyo bootloop
 
Mkuu nimefanikiwa kuweka custom recovery
WhatsApp Image 2018-05-27 at 12.39.44 AM.jpeg

Nipe muongozo sasa wa kuweka Xposed framework

Inamaana flashing ya iyo twrp imefel na imesababisha bootloop.

Rudisha stock rom kutoa hyo bootloop
 
Unatakiwa uwe na xposed framework na xposed installer

Kwanza kabisa download app inaitwa hardware info...kisha install kweny sim yako ,ifungue na kisha tap kweny CPU/processor tujue ni architecture ipi ya hyo simu..

Baada ya hapo ndio utajua unatakiwa ku download framework ipi..pia na android version usisahau kuitaja.
 
Ni Android 5.1.1
WhatsApp Image 2018-05-27 at 9.14.15 AM (1).jpeg

Unatakiwa uwe na xposed framework na xposed installer

Kwanza kabisa download app inaitwa hardware info...kisha install kweny sim yako ,ifungue na kisha tap kweny CPU/processor tujue ni architecture ipi ya hyo simu..

Baada ya hapo ndio utajua unatakiwa ku download framework ipi..pia na android version usisahau kuitaja.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2018-05-27 at 9.14.15 AM (2).jpeg
    WhatsApp Image 2018-05-27 at 9.14.15 AM (2).jpeg
    70.4 KB · Views: 30
Asante mkuu. Nadhani nimefanikiwa.
Ushamba wangu sasa nataka kuweka muonekano wa simu yangu uwe na rangi nyeusi.
mfano notification iwe nyeusi na maandishi meupe kama page ya dos
CPu architecture ya simu yako Arm/
 
Hiyo xposed framework ni nini,na inakazi gani kwenye Simu wakuu?
 
Asante mkuu. Nadhani nimefanikiwa.
Ushamba wangu sasa nataka kuweka muonekano wa simu yangu uwe na rangi nyeusi.
mfano notification iwe nyeusi na maandishi meupe kama page ya dos
Jaribu kutumia gravity box
 
Ume activate gravity box kwanza kweny module? Ukisha activate una reboot simu ku apply changes ,then jarbu kucheza nayo sasa hyo gravitybox
 
Nimefanya vyote lakini hakuna mabadiliko.
Ume activate gravity box kwanza kweny module? Ukisha activate una reboot simu ku apply changes ,then jarbu kucheza nayo sasa hyo gravitybox
 
Nmeona mahal wnasema gravity inafany kaz vzur kweny sim zenye stock android..lakin kweny touchwiz inakua issue
Nimeweka busy box lakini bado.
Nadhani kuna sehemu ntakuwa nachemka
 
Back
Top Bottom