Namna ya kuweka profile picha katika bluestack

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Habari wadau,
kama kichwa kinavyojieleza nataka kuweka picha ktk profile yangu ya Whatsaap kupitia Bluestacks lakini nashindwa na sioni option inayoniwezesha kufanya hivyo. Napata option ya kuweka kwa picha zilizotumwa na watu wengine sipati option ya picha zilizoko kwa pc yangu.Au lingine nikitaka kutuma picha zilizoko katika pc yangu kwa watu wengine.
Naomba msaada wenu wadau
 
hio picha unayotaka kuweka ipo wapi
 
ipo katika computer

eka picha yako kwenye folder la pictures kwenye pc, fungua bluestack nenda playstore then download file manager yoyote then ifungue kwenye mafolder ya simu yako utaona folder limeandikwa bstfolder lifungue utaona folder la pictures lifungue then utaikuta ile picha ihamishe uilete huku kwenye mafolder ya bluestack utaweza kuiona kwenye whatsapp
 
kwa kuongezea; hilo faili kwenye playstore linaitwa ASTRO FILE MANAGER
 
Sijaona hiyo kitu, mimi natumia bluestacks app player for windows (beta 1)ni old version kwa wale ambao vga imegoma ku update
kwa kuongezea; hilo faili kwenye playstore linaitwa astro file manager
 
Sijaona hiyo kitu, mimi natumia bluestacks app player for windows (beta 1)ni old version kwa wale ambao vga imegoma ku update

njia ni nyingi kaka upload picha yako kwenye internet halafu fungua browser ya bluestack idownload

nenda hapa imgur.com ku upload picha kisha watakupa url utaiweka kwenye browser ya bluestack kisha idownload
 
Back
Top Bottom