Namna ya kuuza hati fungani ya BOT

Nkondo 2

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
187
Reaction score
153
Wakuu naomba msaada wa hatua za kuchukua kuuza hati fungani ya BOT, nimepatwa na dharula ninahitaji pesa niloiwekeza huko inisaidie.
 
Kwa kuwa hazijakomaa, tafuta wakala aliesajiliwa DSE akisaidie kuuza Bonds, au waone CRDB Capital. Watakusaidia, pole sana kwa changamoto. Japo jiandae kupewa bei "price tag" ya kukubana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…