Namna ya kutumia Water Guard | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya kutumia Water Guard

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Albedo, Oct 27, 2012.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wadau naomba kwa anayejua namna ya ku treat maji ya Mvua yasiharibike. Natarajia kuvuna maelfu ya Litter za maji ys mvua but si mtaalam wa kutreat. Kuna mtu ameniambia nitumie Water Guard. Nimenunua water bt haina maelezo ya kujitosheleza. Wazoevu naombeni msaada.
   
 2. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Kawaida Lt 20 za maji ya bomba unatakiwa kuweka kidonge kimoja kama ni ya maji unaweka kifuniko kimoja cha chupa ile ya water guard. Na kama maji ni ya kisima, ziwa, bahari, mto au kwingineko, maji hayo utalazimika kuweka vidonge viwili vya water guard kwa kila Lt20 za maji, na kama unatumia water guard ya maji utaweka vifuniko viwili kwa kila Lt20 za maji. Sasa piga mahesabu utavuna lita ngapi kisha zidisha kwa kiwango hicho.
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Asante sana Miwatamu

  Nina Mpango wa kuvuna 50,000 Litters of water.

  20 Litres = Vifuniko 2
  50,000 Litres = Vifuniko 5000

  Nataka kujua chupa moja ya Water Guard Ina Vufuniko Vingapi ili bada ya kuhesabu vifuniko 5000 nimimie chupa kadhaa Sasa chupa ya Water Guard haineshi Volume yake wala hicho kifuniko hawaja state volume yake. But elimu yako imenisaidia hasa kufahamu kwamba kumbe kuna vidonge I have to buy 2500 Tablets Dah!
   
Loading...