Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho

Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho

HAhahaha Mkuu bado sijaitafuta.......... ngoja nijaribu. Ila sasa msuba wapatikana wapi? maana kumeditate sio mchezo

Nakumbuka enzi izo nikiwa seminar, brother flani alikua akitufundisha ku maditate, aisee noma sana.

Inahitaji concentration kubwa mno kwa beginners
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Nakumbuka enzi izo nikiwa seminar, brother flani alikua akitufundisha ku maditate, aisee noma sana.

Inahitaji concentration kubwa mno kwa beginners
Seminarian Mate.......... hahahha usije tu ukawa wa pale kwa Makapuchini. But ukiiwezea mazee ni nzuri sana
 
Mkuu Mshana Jr nilipokuwa mdogo kwa kutumia maganda ya korosho nilijichora nanga ikiwa imezungushiwa nyoka, ni enzi za utoto bila kujielewa, Vipi inaweza kuwa na effect yeyote kwa maisha yangu ya sasa?? Kama ndio nafanyaje kuifuta maana alama yake bado ipo kwa mbali kama kovu hivi.
 
Imeshakufa hiyo
 
Mshana ni bahati sana kama wewe siyo mshirikina basi utakuwa mganga jomba
 
Vp kuna aliepanda ngazi atupe mrejesho?
 
Mshana ni bahati sana kama wewe siyo mshirikina basi utakuwa mganga jomba
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom