Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho

Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho

Mmmh ngumu kuamini kutokana na imani yangu, ila alama za kwenye nguo au vitu huwa najitahidi kuepukana nazo hasa makopo ya vinywaji najua ni alama za nguvu za giza, sasa pia kupata alama hii sitajaribu, tena wengine wanasema utafute sijui rangi yako yaani full stress, Mungu ninayemwamini anisaidie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mshana Jr mi bado nipo njiani napanda ngazi sijui ntafika lini

11349.jpg
 
Back
Top Bottom