Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho

Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho

Mkuu katika pitapita zangu huku Ughaibuni nimekutana na hii Vodka....Tafadhali naomba ufafanuzi wa hii shape ya chupa ni shape ya fuvu ...Je ni Secret society fulani wako kazini bila ya sisi kujuwa ???
 
Attachments

  • V6_Sophie-Bratt_English.jpg
    V6_Sophie-Bratt_English.jpg
    83.5 KB · Views: 47
  • V1_Our_Story_English.jpg
    V1_Our_Story_English.jpg
    54.4 KB · Views: 49
  • V3_Aurora_Arrived_English_%284%29.jpg
    V3_Aurora_Arrived_English_%284%29.jpg
    71.4 KB · Views: 49
Mkuu katika pitapita zangu huku Ughaibuni nimekutana na hii Vodka....Tafadhali naomba ufafanuzi wa hii shape ya chupa ni shape ya fuvu ...Je ni Secret society fulani wako kazini bila ya sisi kujuwa ???
Always alama ya fuvu ama alama ya fuvu na mifupa ama alama ya mifupa peke yake ni alama ya mojawapo ya hizi secret society... Maranyingi ikiwa kwenye nguo ama mwilini kuchora tattoo au kwenye vitu kama hivyo
 
Nimekupata mkuu kuanzia leo naachana na hiki kilauri....
 
Nimesoma maelezo ya harakaharaka na nimekumbuka mwaka 1997 zilitoka scholarship za kwenda kusomea budhism huko South Africa...Rafiki yangu wa karibu sana alipata scholarship na alikuwa huko kwa miezi kadhaa...alikimbia na kunieleza mambo makubwa yaliyomkera ni pamoja na dharau za wachina na matusi kwa watu weusi.....
 
Niambie jina lake nitakuwa namjua
 
View attachment 581171mafuvu ni alama maarufu inayotumiwa na wengi... Wengine wanajua maana yake na wengine ni kuiga tu.. Fuvu na mifupa miwili ni alama ya kufisha na uharibifu
Watu hupenda kuwa na alama mbalimbali za kujitambulisha, hata hapa JF kuna watu hutumia alama kwenye avatar zao
Kuwa makini na alama unayotumia kwakuwa kiroho hukutmbulisha hivyo na kuipa nguvu ya kutenda katika ulimwengu halisi
Unatafuta vipi alama yako halisi? Fanya hivi
1. Tafuta sehemu iliyokuwa kimya na tulivu
2. Kaa katika mkao wa tahajudi kwa utulivu
3. Vuta hisia za ngazi... Yaani tengeneza ngazi akilini mwako
4. Weka nia ya kuipata alama yako juu mwisho wa ngazi
5. Vuta hisia halisi za kuanza kupanda ngazi yako
6. Panda kihisia mpaka juu kabisa
7. Cha kwanza utakachokiona mawazoni mwako juu mwisho wa ngazi ndio alama yako kiroho... Itumie hiyo kwa mambo yako... Unaweza ichapa kwenye vitu vyako, kuitumia kama avatar, kuitumia kwenye manuizi na viapo! Wengine hujichora tattoo ya alama zao
Ukiweza kuipatia alama yako kwa usahihi utakuwa umezalisha roho yenye nguvu hata kwenye mambo ya kulaani na ushirikina hivyo kuwa mwangalifu sana
Njia ya tahaduji ni ngumu hivyo baadhi hutumia bangi kupata imagination husika ama ulozi lakini hizi ni njia bandia na zenye madhara mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 19620388_1667568849929521_1325087603476157163_o.jpg
    19620388_1667568849929521_1325087603476157163_o.jpg
    123.3 KB · Views: 48
View attachment 581171mafuvu ni alama maarufu inayotumiwa na wengi... Wengine wanajua maana yake na wengine ni kuiga tu.. Fuvu na mifupa miwili ni alama ya kufisha na uharibifu
Watu hupenda kuwa na alama mbalimbali za kujitambulisha, hata hapa JF kuna watu hutumia alama kwenye avatar zao
Kuwa makini na alama unayotumia kwakuwa kiroho hukutmbulisha hivyo na kuipa nguvu ya kutenda katika ulimwengu halisi
Unatafuta vipi alama yako halisi? Fanya hivi
1. Tafuta sehemu iliyokuwa kimya na tulivu
2. Kaa katika mkao wa tahajudi kwa utulivu
3. Vuta hisia za ngazi... Yaani tengeneza ngazi akilini mwako
4. Weka nia ya kuipata alama yako juu mwisho wa ngazi
5. Vuta hisia halisi za kuanza kupanda ngazi yako
6. Panda kihisia mpaka juu kabisa
7. Cha kwanza utakachokiona mawazoni mwako juu mwisho wa ngazi ndio alama yako kiroho... Itumie hiyo kwa mambo yako... Unaweza ichapa kwenye vitu vyako, kuitumia kama avatar, kuitumia kwenye manuizi na viapo! Wengine hujichora tattoo ya alama zao
Ukiweza kuipatia alama yako kwa usahihi utakuwa umezalisha roho yenye nguvu hata kwenye mambo ya kulaani na ushirikina hivyo kuwa mwangalifu sana
Njia ya tahaduji ni ngumu hivyo baadhi hutumia bangi kupata imagination husika ama ulozi lakini hizi ni njia bandia na zenye madhara mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
HIYO MIWANI KWENYE AVATAR YAKO NI ALAMA PIA AU ULEMBO TU
 
Back
Top Bottom