sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,718
- 4,252
Habari wana jf,
Mimi nakaa nyumba yakupanga, kama baadhi mtakuwa mme experience karaha za umeme kwenye nyumba zakupanga, hivyo nimewaza bora niwe na luku yangu binasfi ambayo nitaiweka kwenye nyumba hiyo hiyo ambayo tayari ina luku nyingine , je ni utaratibu gani naweza kuufata kusudi nipate luku yangu ?