Namna ya kupata LUKU

sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,718
4,249
Habari wana jf,

Mimi nakaa nyumba yakupanga, kama baadhi mtakuwa mme experience karaha za umeme kwenye nyumba zakupanga, hivyo nimewaza bora niwe na luku yangu binasfi ambayo nitaiweka kwenye nyumba hiyo hiyo ambayo tayari ina luku nyingine , je ni utaratibu gani naweza kuufata kusudi nipate luku yangu ?
 
Una mawazo kama ya kwangu. Mtafute fundi akuwekee main switch, circuit breaker,nk pia kukuunganishia wiring na mita yako. Kisha nenda TANESCO kalipie watakuunganishia service line uendelee na maisha.
 
Nakushauri fika tanesco iliyo karib yako, nenda na list ya manunuz ya umeme mita namba yako, na barua ya inayotaja mita iliyopo na kuomba ya pili kwa jina la mwenye nyumba (awali) barua ziwe nakala mbili, baada ya hapo chukua fom bure ukiwa na kitambulisha na paspot ya mwenye nyumba, after then omba upewe mkandaras aliyesajiliwa tanesco ili akakufanyie wayaring na kukujazia fom na mhuri wake halaf utalipia...makadirio vifaa n 150000/= UFUNDI NA KUJAZA FOM 100000/= NA LUKU 320960/=JUMLA ANDAA 570960/= KWA KAZ YAKO YA SEPARATION wthn 30days umeme unawaka..EPUKA VISHOKA pia unaweza ni PM
 
Fanya wiring sehemu ya chumba unayotaka kuweka iyo mita,kisha nenda tanesco chukua form yao ya maombi ambayo ni 5900,kisha tafuta mkandarasi aliyesajiliwa na tanesco na kwa ajili ya kukugongea muhuri,kisha rudisha kadi lao na utapangiwa siku ya kufanyiwa survey na fundi wa tanesco,akishapita fundi wa tanesco yeye ndo atakuambia siku ya kwenda kulipia,baada kulipa ujiandae kuwekewa tu umeme,Na gharama ya kuweka mita ni 272000/=,(Vitu vya kwenda navyo ni kitambulisho chako chochote,na picha moja ya Passiport size),ukipenda unaweza ni pm kwa ushauri zaidi
 
Habari wana jf,

Mimi nakaa nyumba yakupanga, kama baadhi mtakuwa mme experience karaha za umeme kwenye nyumba zakupanga, hivyo nimewaza bora niwe na luku yangu binasfi ambayo nitaiweka kwenye nyumba hiyo hiyo ambayo tayari ina luku nyingine , je ni utaratibu gani naweza kuufata kusudi nipate luku yangu ?
Inabidi mfumo wa nyaya za umeme ubadilishwe kufanikisha hilo. Kisha uwekewe service line ya kwako. Hapo utapata Meter yako ya LUKU.
Lakini hizo gharama utazikubali? Service line laki tatu na nusu au zaidi kidogo.
Ukihama hiyo nyumba?
 
Kama nyumba ni yakupanga nunua chanel meter itakufaa zaidi. Kuliko kufunga mita yako ni hasara. Je ukihama itakuwaje?
 
Uko sahihi mkuu, ila kwa sasa fomu ya maombi mteja halipishwi inatolewa bure!
 
Nakushauri fika tanesco iliyo karib yako, nenda na list ya manunuz ya umeme mita namba yako, na barua ya inayotaja mita iliyopo na kuomba ya pili kwa jina la mwenye nyumba (awali) barua ziwe nakala mbili, baada ya hapo chukua fom bure ukiwa na kitambulisha na paspot ya mwenye nyumba, after then omba upewe mkandaras aliyesajiliwa tanesco ili akakufanyie wayaring na kukujazia fom na mhuri wake halaf utalipia...makadirio vifaa n 150000/= UFUNDI NA KUJAZA FOM 100000/= NA LUKU 320960/=JUMLA ANDAA 570960/= KWA KAZ YAKO YA SEPARATION wthn 30days umeme unawaka..EPUKA VISHOKA pia unaweza ni PM
na je kwa nyumba ambayo ina deni hakuna msamaha au punguzo la makato ya deni?
kwa kuwa tukinunua umeme wa 20000 zinapatikana units 29 tu.
 
Kama nyumba ni yakupanga nunua chanel meter itakufaa zaidi. Kuliko kufunga mita yako ni hasara. Je ukihama itakuwaje?
Chennel miter ndio zipoje na zinapatikana wapi na garama zake zipoje
 
Hebu pitia haya mabandiko:
Nakushauri fika tanesco iliyo karib yako, nenda na list ya manunuz ya umeme mita namba yako, na barua ya inayotaja mita iliyopo na kuomba ya pili kwa jina la mwenye nyumba (awali) barua ziwe nakala mbili, baada ya hapo chukua fom bure ukiwa na kitambulisha na paspot ya mwenye nyumba, after then omba upewe mkandaras aliyesajiliwa tanesco ili akakufanyie wayaring na kukujazia fom na mhuri wake halaf utalipia...makadirio vifaa n 150000/= UFUNDI NA KUJAZA FOM 100000/= NA LUKU 320960/=JUMLA ANDAA 570960/= KWA KAZ YAKO YA SEPARATION wthn 30days umeme unawaka..EPUKA VISHOKA pia unaweza ni PM
Fanya wiring sehemu ya chumba unayotaka kuweka iyo mita,kisha nenda tanesco chukua form yao ya maombi ambayo ni 5900,kisha tafuta mkandarasi aliyesajiliwa na tanesco na kwa ajili ya kukugongea muhuri,kisha rudisha kadi lao na utapangiwa siku ya kufanyiwa survey na fundi wa tanesco,akishapita fundi wa tanesco yeye ndo atakuambia siku ya kwenda kulipia,baada kulipa ujiandae kuwekewa tu umeme,Na gharama ya kuweka mita ni 272000/=,(Vitu vya kwenda navyo ni kitambulisho chako chochote,na picha moja ya Passiport size),ukipenda unaweza ni pm kwa ushauri zaidi
Mbona hizo gharama zinapishana sana?
 
Inabidi mfumo wa nyaya za umeme ubadilishwe kufanikisha hilo. Kisha uwekewe service line ya kwako. Hapo utapata Meter yako ya LUKU.
Lakini hizo gharama utazikubali? Service line laki tatu na nusu au zaidi kidogo.
Ukihama hiyo nyumba?
Unaweza ukang'oa service line kwa hasira .... Au unamaliza kujiwekea luku alaf kimjengo kinauzwa na mnunuzi hatak wapngaji.... Uuuuuuuuuwi unaweza kulia kilio cha mbwa mwizi
 
Hizo gharana ni kubwa sana... Kama wenzako uliopanga nao wanazingua na matumiz ya umeme, cha msingi muende sawa tu, naww nunua pasi,jagi la umeme, jiko la umeme, deep freezer, fan zuuur linaoperate masaa 24/7 , rice cooker na deep fryer, sasa hapo na ww utawanyoosha na mtaheshimiana... Kama mbwai n mbwai bhana.. Kusudi mwenzie jeur
 
Duh aiseee
 
Habari wana jf,

Mimi nakaa nyumba yakupanga, kama baadhi mtakuwa mme experience karaha za umeme kwenye nyumba zakupanga, hivyo nimewaza bora niwe na luku yangu binasfi ambayo nitaiweka kwenye nyumba hiyo hiyo ambayo tayari ina luku nyingine , je ni utaratibu gani naweza kuufata kusudi nipate luku yangu ?
sasa ndugu yangu sio kila kitu utakileta Jf
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom