NCCR ilivuma kwa miaka mingapi? Subiri uchaguzi wa Oct 2020 ndio mje na tantalila.
Kitendo cha kupungua idadi ya wabunge mpaka kufikia 15 ni chama kuimarika?
Poleni mmebaki na wabunge 15 tu na bado mnafikiria kupewa nchi October 2020!!Bunge lenyewe linaenda kuvunjwa
Poleni saccos inakufa October 2020!..kura za upinzani zimekua zikiongezeka ktk kila uchaguzi mkuu.
..vyama vya upinzani vinapanda na kushuka.
..Lakini hamu ya mabadiliko na mageuzi nchini imekuwa ikipanda kila uchaguzi mkuu.
..ila tangu vyama vingi virudishwe sijawahi kuona ccm na dola wakipambana na upinzani kwa mabavu na ukatili kama awamu hii.
..hivyo huenda ukatili na mabavu ya ccm na dola unaweza kuzima ndoto ya mabadiliko nchini ktk uchaguzi unaokuja.
Kitendo cha kupungua idadi ya wabunge mpaka kufikia 15 ni chama kuimarika?
OK hata uchumi umeanguka 2015 uchumi ulikuwa 7% Leo uko 2.2% hill unalionaje? MkuuHabari wakuu
Hapo jana nilipoyaona majina ya wabunge wa CHADEMA waliokuwa wamegomea vikao vya bunge kutolewa na spika akiwataka wakapimwe covid19 ndio waruhusiwe kurudi tena bungeni nilishtuka na kustaajabu kidogo kwa namba ya wabunge wa chama hiki kuwa kwa uchache kipindi hiki
itakumbukwa baada ya uchaguzi wa 2015 chadema kilikuwa na zaidi ya wabunge 60 ndani ya bunge la jamhuri lenye viti zaidi ya 390
hii namba kwa muda wa miaka minne tu imeporoka sio kushuka kwa kasi kasi kubwa
kwa chama kilicho na nia ya kushika dola ilitakiwa kiwe kinajiimarisha sasa kuelekea uchaguzi mkuu hapo October na sio kupukutishwa kwa kupungzwa namba ya wabunge wake
kwa muono wangu hili ni anguko kubwa lazima tukubali chadema kuna sehemu kinafeli na hii ni ishara kwamba chama hiki kinakufa taratibu kama si haraka
Lalasalama pia mnajisifu mumeuwa ngojeni mchanganyikiwe vizuliPoleni mmebaki na wabunge 15 tu na bado mnafikiria kupewa nchi October 2020!!
Tupe na idadi ya wanachama na wafuasi...Habari wakuu
Hapo jana nilipoyaona majina ya wabunge wa CHADEMA waliokuwa wamegomea vikao vya bunge kutolewa na spika akiwataka wakapimwe covid19 ndio waruhusiwe kurudi tena bungeni nilishtuka na kustaajabu kidogo kwa namba ya wabunge wa chama hiki kuwa kwa uchache kipindi hiki
itakumbukwa baada ya uchaguzi wa 2015 chadema kilikuwa na zaidi ya wabunge 60 ndani ya bunge la jamhuri lenye viti zaidi ya 390
hii namba kwa muda wa miaka minne tu imeporoka sio kushuka kwa kasi kasi kubwa
kwa chama kilicho na nia ya kushika dola ilitakiwa kiwe kinajiimarisha sasa kuelekea uchaguzi mkuu hapo October na sio kupukutishwa kwa kupungzwa namba ya wabunge wake
kwa muono wangu hili ni anguko kubwa lazima tukubali chadema kuna sehemu kinafeli na hii ni ishara kwamba chama hiki kinakufa taratibu kama si haraka
Poleni saccos inakufa October 2020!
Hata kuandika hujui naona tayari umeshachanganyikiwa!Lalasalama pia mnajisifu mumeuwa ngojeni mchanganyikiwe vizuli
Msije tu mkaahirisha uchaguzi
Kijana hebu wacha watu wafutuluHata kuandika hujui naona tayari umeshachanganyikiwa!
Hizo takwimu mnazitoa wapi?OK hata uchumi umeanguka 2015 uchumi ulikuwa 7% Leo uko 2.2% hill unalionaje? Mkuu
Hizo takwimu mnazitoa wapi?