Namna ya kuokoa CHADEMA isife...

Kuna kundi la wabunge wa CCM linajitenga kishinikiza 2020; we umekalia CDM itakufwa CDM itakifwa!! Kalagabaho!!
 
Chadema si imara tena ipo kwenye pumzi za mwisho kuelekea huko viliko hivyo vyama vingine!
 
Hebu tuseme kama utakavyo imekufa sasa! Tuitishe uchaguzi WA Haki maana imeshakufa na mapolisi na majeshi watulie makambini kwao na tuweke tume huru maana CHADEMA Ni marehemu harafu tuone outcomes kama je marehemu CHADEMA hatawashinda then tuuamini unajimu Wako!

Siku uchaguzi ukiwa huru Hamna CCM nakuhakikishia sasa hapo marehemu WA Kweli Ni nani?
 
Haifi kwa maana ya kupotea ila itadhoofu kama hivyo vingine hata kipindi cha uchaguzi huwa na kura ya mwenyekiti tu!
 
Haifi kwa maana ya kupotea ila itadhoofu kama hivyo vingine hata kipindi cha uchaguzi huwa na kura ya mwenyekiti tu!
Hujaelewa nimeandika nini? Tuseme imekufa sasa tujiamini sisi CCM Tuitishe free and fair elections!! Tutaona je Ni CCM au CHADEMA aliyejifia!

Ukiacha mahaba mkulu anaizika CCM rasmi ILA Kwa mawank ya mbao anaiimarisha! Tunza hii posti hesabu siku utaniamini ninachoongea
 
Kila mmoja na mtizamo wake tusubiri siku ifike!
 
Siku hizi Mbona mmekuwa Wapole sio Kama enzi Za Mkwere?

Mkwere angewaambia Marufuku Mikutano ya Kisiasa mngetii Kama mnavyomtii Mwenye heri John Magufuli?
Nimekupa like kwa sababu post yako imejaa ukweli mtupu. Japo umeituma kwa style ya kichekesho .
 
Uuuhh kwa hyo wasichukue makada wa ccm ugeuka mabomu kwao
 
Futilia mbali vyama vyote vya upinzani.Hii nchi ni ya wana CCM tuu.Baba wa taifa alikosea kutuingiza katika vyama vingi.
Na hatutaki tume huru ya uchaguzi.
 
Naomba ulete hapa tofauti ya NCCR ile ya akina Lamwai,Marando, Tundu Lissu, Antony Komu, Mrema, Mbatia na Chadema hii kitaasisi.
Kwa vitendo.

Oh Chadema inakufa mtakufa nyie....

 
Mawazo yakoo tuuu mkuu uwee na fikraa chanya dhidi ya wenzakooo usiwe na hasiii
waombee wenzakoo mema ilii na CCM yako iimarikeeeeee Bila CHADEMA imara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…