yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,589
- 1,320
Upinzani utaendelea tu, Tanzania ni nchi ya vyuma vingi na CHADEMA inazidi kuimsrika. Peoples✌🏾
wewe uko ulaya gani hiyo ambapo watu hawapo busy na kazi? ama unaishi kwa mjomba au shemeji tu, na kudanganya watu habari za ulaya? huna kazi eti?Chadema ishakufa tokea wamchukue fisadi
Mkuu unataka kujua mpaka ratiba zangu kisa nimemgusa Lowassa?wewe uko ulaya gani hiyo ambapo watu hawapo busy na kazi? ama unaishi kwa mjomba au shemeji tu, na kudanganya watu habari za ulaya? huna kazi eti?
Sawa sababu kuu ya haya yote mkuu chanzo nini!Chadema ndio bye bye hakuna dawa wala uganga inakufa kifo cha Nccr mageuzi,Cuf hivi vyama viwili vilipita katika njia wanazopitia chadema kwa hivi sasa,
Nccr baada ya kutamba uchaguzi wa 95 kwa kumpokea kada mkuu wa CCM Lyatonga mrema baada ya hapo ikawa ni mtifuano na kufifisha chama machoni mwa watu mpaka leo hii Nccr haipo labda ukisikia mbatia ndio unakumbuka kuna kitu kinaitwa Nccr mageuzi
Cuf ilipita njia hizi hizi za Chadema baada ya kutamba uchaguzi wa 2000 Cuf rasmi iliingia kwenye mitifuano isiyo kwisha mpaka kilizaliwa chama cha kingine kupitia aliyekuwa kada wao maarufu Hamadi Rashidi leo hii kama tunavyoisikia Cuf inapumulia mashine kuna ya zanzibar na ya bara
Historia inatuonyesha Chadema baada ya kumchukua kada wa Ccm maarufu Lowassa leo hii Chadema ipo kwenye minyukano ya chini kwa chini japo wenyewe wanajaribu kuifunika lakini kwa muonekano tu Chadema inayumba na imepoteza muelekeo watu kila kukicha wanaikimbia Chama na wameanza kutuhumiana tuhuma za usaliti wao kwa wao!
Swali kwanini kila kada mkuu wa CCM akihamia chama cha upinzani hukumbwa na dhoruba!
Hahahaaa,wapiga ramli bado wanahangaika na CDM!Ramli hizo hazijaanza leo alitabiri mzee Wasira miaka ya 2010 kafa yeye instead.
View attachment 900705
Wassira ambaye alikuwa na nguvu ndani ya ccm kuliko huyu jiwe anashangaa Chadema haifi ila yeye ndio anajifia na sasa amekuwa mfuga mbuzi tuu. Gademit!!Ramli hizo hazijaanza leo alitabiri mzee Wasira miaka ya 2010 kafa yeye instead.
View attachment 900705
Hizo ramli hazijaanza leo. Nyie wapiga ramli wa sasa ni sisimizi tu.Wana Ufipa ukiwaambia Chadema utakufa wanadhan tunamaanisha kufa Kama kifo Cha binadamu
Tunamaanisha kifakufa Kwa maana kitakuwa Kama NCCR Au CUF
Hata akiondolewa Kubenea ataibuka mwingine tu Halafu Mara nyingi wale watu wa karibu Na Mbowe anaewaamini Sana ndio huja kum challenge
Alianza Chacha Wangwe, akaja Zitto Kabwe, akaja Dr Slaa Na Sasa Mwandani Na maiti wa Mbowe Ndugu Kubenea Na Komu nao wamechoka
Hata Hawa kina YericKo nao watakuja kumzingua Na kumchoka Mbowe