Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,634
- 112,476
Ili nikusaidie kupanua huo mdomo uliojaa meno...tehNamba yake ya nini sasa
Ili nikusaidie kupanua huo mdomo uliojaa meno...tehNamba yake ya nini sasa
hapana kila siku mh hapana kwa kweli
Hahahaa, mzoefu eeeh! tehMwambie unataka kutoka naye dinner weekend. Akikubali hio siku mfate kwake au kwao na gari hata kama huna chukua Uber.
Mkifika huko mnunulie vinywaji na chakula alafu husimtongoze kwa week nzima mtoe out tena alafu mtongoze sasa. [emoji23][emoji23] Ataamua sasa mwenyewe kama yuko single au already taken [emoji6]
And don't forget to thank me.
Hahahaa, mzoefu eeeh! teh
Kumbe ndiyo mnapendaga hivi.....
Hivi ukumpigia mwanaume simu kisha akakuambia nipo nyumbani chukua gari uje unafikiria nini? Hajali ?
Maana nimeona hapo umetoa ushauri akachukuliwe...binafsi ningemwambia anifuate nilipo nisingeenda kumfuata.
PIGA K-VANT NDOGO NA SERENGETI LITE MBILI MANENO YATAKUJA YENYEWEEE. USIPATE TABU CUBIC BOYWakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue nataka nimualike lunch
duh aiseePIGA K-VANT NDOGO NA SERENGETI LITE MBILI MANENO YATAKUJA YENYEWEEE. USIPATE TABU CUBIC BOY
Hakuna haja ya kumtongoza.Mwambie unataka kutoka naye dinner weekend. Akikubali hio siku mfate kwake au kwao na gari hata kama huna chukua Uber.
Mkifika huko mnunulie vinywaji na chakula alafu husimtongoze kwa week nzima mtoe out tena alafu mtongoze sasa. [emoji23][emoji23] Ataamua sasa mwenyewe kama yuko single au already taken [emoji6]
And don't forget to thank me.
Huu nao ni uzi?Wakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue nataka nimualike lunch
kwani uzi unakuwajeHuu nao ni uzi?
Kwani na wewe ni great thinkerAkili yako itakuwa imechomolewa betri nini?
Kwani na wewe ni great thinker