Namna ya kumkamata mwanaume!!


Nakubaliana na wewe Songíto,

Kwenye mahusiano especially mapya, mtu hana sababu ya kujipinda eti anataka mwenzi wako akukubali....Just play your part mdogo mdogo. Na kama watu wangejua, basi wangeangalia vitu basics kama alivyoshauri Mama Ashrati badala ya kuwa obsessed kwa kuhangaishwa na vitu petty ambavyo mchango wake si mkubwa ki hivyo.

Babu DC!!
 
Hapo nakabidhi moyo wangu ukae nao kabisa mama angu.
Good lesson.
 

Mbu

Kwanza hongera kwa bibie maana wengi hata hua hawajihangaishi, achilia mbali kukaribia kufaulu mtihani. Hongera na wewe pia kwa kumwezesha kuendelea kukufanyia hayo mazuri maana ungekua sio kitu angeshakata tamaa mapema.

Hehehehehe hivi unajua hata vijana siku hizi wanatumia mimba kushinikiza ndoa? Sema wao wanaitumia pale wazazi wanapoonyesha ugumu wa kumkubalia binti yao kuolewa na kijana husika. Tofauti ni kwamba hili lina-support-iwa na wengi kuliko la mabinti.

Back to the topic. . .
Binafsi naona kwamba sio sahihi mtu kujishikisha mimba ili kumkamata mwanaume maana kwanza unakua umeshikiniza ndoa/mahusiano (sioni furaha hapo), pili anakua hajampa kijana nafasi ya kusema/onyesha kwamba wewe ndie angependa kushea kitu kama hicho with (kujua kunatoa furaha ya aina yake), tatu na kubwa kabisa ni kuwa zamani wanaweza kuwa walikua wanakamatika kwa style hiyo ila siku hizi mambo yamebadilika. Mtu anasema kabisa "mi mtoto ntalea but that is as far as you and me go". Kwahiyo mtu anakua amejibebesha u'single mother' kitu ambacho pengine hawezi ki-handle. Kwa lugha nyingine mtu anaetaka kumkamata mwenzie kwa style hiyo anatumia matope na sio akili kufikiri. Maana hamna guarantees, anaweza akishia kubeba mzigo ambao sio sawa yake.

Na ikitokea bila janja ya binti basi nashauri sana huyo binti asishinikize mahusiano kwa sababu hiyo. Ampe kijana nafasi ya kusema mwenyewe "sasa bwana mi naona/nataka tufanye kweli maana tayari tunatarajia". Hapo kila mmoja ataamua kwa nafasi yake kama kweli anataka ku-settle na mwenzake au la.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Hahahaha!!Asante MwanajamiiOne kwakunipa furaha na hiyo "wadada hima tukakamate".

Hapo nakabidhi moyo wangu ukae nao kabisa mama angu.
Good lesson.

manuu
Ningekua na pakuuweka ningepokea. Embu angaza angaza macho usikute bahati yako ipo karibu ila hujajua tu.

Sooth asante sana mpendwa kwa experience. Mengi sana wadada hua wanajiharibia wenyewe, wanakua na haraka kupitiliza, matakwa ya kutisha wakidhani kwamba ndio watapata makubwa. Kumbe mazuri yanahitaji uvumilivu na utaratibu kwenye kuyatafuta.

Mama ashrat, nakuvisha taji la heshma...wambie bwana habarii za ndoa za siku mbili baada la kukutana sio ishu tushachoka sie
Hahaha. Asante mwaya.
 
Last edited by a moderator:

.....umeiweka vyema mpenzi ila nahisi umeacha kunitafsiri kwenye kipengele cha 'nia' ya mwanadada kujibebesha mimba.

MwanajamiiOne, .....mtu akitaka lake hashindwi. Mfano, hata mke wa ndoa kuna kipindi mume unapoteza hesabu lini aliingia mwezini, sembuse couples wanaoishi miles apart?

Sina tabia ya ku prove kweli tampoons zimelowa damu yake, ndio maana nikasema....'mrembo' akiwa na nia yake hata mzunguko wake ataurefusha/ufupisha ili kunivurugia hesabu ya danger days, na hapo bdo hajaongezea fertility injections za Dr Shafiq...

Kufumba na kufumbua unaambiwa "....nishapoteza miezi miwili, na mimba sitoi"....it's like being blackmailed jamani....
 
Last edited by a moderator:

.... Mama Ashrat umeiweka vyema, ....i hope kina dada wengi wamejifunza mapenzi na ndoa ni hiari, si kwa hila na kulazimishana.

Miaka fulani Unguja kuna kipindi ilifikia binti anapanga na wa kwao 'akamatiwe' kwa mwanaume alom target.....yaani anajileta kwa mwanaume, within minutes mnagongewa na umati wa watu akiwemo shk,...mnapigwa ndoa ya mkeka!
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda sana hii topic, ni kweli wadada wanaponzwa na kauli hii ya kutaka kuolewa mapema.
 
duh hyo namba 2 imenigusa mpaka najisikia vibaya.
 
u nailed it 100% for sure ,i think this was the best article of 2012 in JF
 
mkuuuuuuuuuuuuuu upoooooooooooooooooo so silent pande zipi?
Mkuu nipo, wakati mwingine tunazungukia majukwaa mengine kwa zamu ili na wale wasio na funguo za kuingia huku wapate fursa ya kutuona.

Vipi majukumu ya ujenzi wa taifa yanaendeleaje?
 
Ujumbe mtamu sana Mama Ashrat big up!
 
Nmeipenda in everyway....safi sana mama ashrat,ahsante
af nyie mnao'quote thread lote na kureply mistari miwili MNABOAAA..Si mreply tu directly
 

Nimefundika!shukran mama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…