Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,922
- 5,626
Mada hii ya ukweli sana, ngoja nielezee masahibu niliyowahi kupitia:
1.Pekua pekua. Mpenzi tuliyekuwa tukiishi mikoa tofauti alikuja kunitembelea mahali ninapoishi. Nilipigwa search kuanzia picha mpaka salary slips. Nilipigwa search kama napekuliwa na wanausalama! Siipendi hii tabia, maana inaonyesha mtu hakuamini bila sababu ya msingi. Kwangu mimi, Love=trust.
2. High expectations. Hili nalo limekuwa ni tatizo kwangu kiasi kwamba kuna mpenzi wangu alishindwa kujizuia, akamwaga chozi akilalamika ati kitanda changu ni kidogo na matawi ya chini kuliko anacholalia home kwao. Hii sio nzuri, maana mimi naamini maisha yanajengwa mkiwa pamoja. Dada zetu wanapenda wakute kila kitu kimeota kama uyoga-kuanzia magari, nyumba, fedha zimetuna kwenye akaunti benki, nk.
3.Annoyingly pushy. Mpo kwenye gemu ndani ya 6x6, huku chura amemeza nyoka, akiona unaanza kukolea anaanza kukuuliza "..sasa mpenzi unakuja lini nyumbani?", "..utanioa?", "..sasa mpenzi ile hela niliyokuomba vipi?", "..mpenzi una mpango gani na mimi?". Huwa napata kichefuchefu sana. Sipendi mpenzi wangu awe na tabia za makahaba!
4. Mizinga ya mbagala na Gongo la mboto! I sympasize with the victims of the two calamities... wapenzi wetu wakati mwingine wanakuwa na too demanding as if umeshamuoa. Kuna mmoja aliniambia, "..mbona mama huwa ananiambia ukipata mchumba (mpenzi) ndo kila kitu anatakiwa akuhudumie?". Anaendelea: "..mama anasema wakati wa usichana wao, mchumba (mpenzi) alikuwa anahudumia kila kitu". Hapa watu wanashindwa kutofautisha mapenzi ya zamani na siku hizi. Zamani mtu anakuwa na mpenzi 1, toka usichana hadi uzeeni; leo jambo la kuachana baada ya mwaka au mwezi ni kawaida. Why would I want to invest so much in a potentially short term relationship?
Hapa sina maana wapenzi wasisaidiane. Ila inakuwa tatizo mpenzi (wala hata sio mchumba) anapoombwa ada ya shule wakati msichana ana familia inayomsomesha. Tusaidiane vitu vidogo vidogo ili hata mambo yakitushinda tunaachana bila hiyana. Sio kwenda mahakamani kudai magari na miradi mliyoanzisha pamoja kama wapenzi.
Angalizo: Hapa naongelea wapenzi. Sio wachumba wala wanandoa.