No town like Dar in Tz. Kubisha kunaruhusiwa.
No town like Dar in Tz. Kubisha kunaruhusiwa.
Nadhani stendi ya makumbusho ndo inaongoza Kwa watoto wazr.
Buguruni umebugi kuna waarabu na waswahili kibao labda kama unaongelea biashara kongweTemeke Wazaramo, wamwera, wamakonde
Mwenge Masaki TICK
Kimara Wezi
Kigogo Waluguru, wakaguru
Gongo la mboto washenzi
Keko wanyakyusa
Mwananyamala wasambaa
Buguruni wahaya
Huko kwenu temeke wasije wakaibiwa camera na vifaaHivi kwa nin hawa waigizaji huwez kuta wanaigizia mahali kama temeke, mbagala buguruni au ilala wao wana base tu kino hata daladala zinazoonekana ni mwenge, masaki yaan morogoro road upande wa juu tu
Kuja kusoma tu huku si sawa na kuzaliwa huku na kuishi huku...Hapana..mie nilikua mzururaji sipati kusma .si unazijua zile za kichuo chuo?mie dar sion jipya kwakweli! au la nilifanya sana starehe! sioni kipya!
Kuja kusoma tu huku si sawa na kuzaliwa huku na kuishi huku...
Mfano, anayekaa Isamilo au Bwiru na anayekaa gongolamboto au mbagala nani yupo Dar.Hauwezi ukapachoka dar ukafulahia mikoani labda kama upo nje ya Tanzania kabisa, kwa bongo hakuna kama Dar mane.
Tumefanya nn shem.Watu wa Dar na rank zenu
Mko juu alwys!Tumefanya nn shem.
NakaziaWatu wa mbagala tunadharaulika sana
Ila Fresh one day yes Tu.
Tandika na tandale umewaficha wapi?Sio kweli mbagala ndio soko kuu la madela Tanzania Kuna wavaaji wengi ambako mtu aweza kuwa hata na madela 20
Basi safi sana!Mko juu alwys!
Gmboto akina muraaa chacha mwita maranyaHapo Gomz kuna ukweli, hao wa kigogo natamani kujua ni kabila gani
Hata idadi sifahamu, Mwaka huu nishanunua zaidi ya15Wewe unayo mangapi mama watoto ?