Namna ya kujua baadhi ya daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia abiria tu ukiwa Dar es Salaam

Na ukiona wengi wanagombania daladala ujue ni sisi sisi wa Kimara yaani sisi wa Kimara tumeambukizwa fujo na wale wa Gongo la mboto au Mbagala
Ukiwa Dar waweza jua daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia tu abiria wanaoshuka au kupanda. Ukiona daladala abiria wengi wamevaa madela na baraghashia nyingi na wanaongea sana hiyo daladala ni ya kuelekea Temeke.

Ukiona wanaopanda basi wengi wamevaa jeans na vimini hata vibibi vikiwa na vimini na vikaptula, hiyo daladala ni ya kuelekea njia ya Mikocheni, Masaki na Mwenge.

Ukiona daladala wengi wanaopanda ni weupe weupe na wana meno kama yameoza oza ni daladala ya kwenda Kimara.

Ukiona daladala ina watu warefu wengi na wengine wengi unawaona ni weusi sana na wote wanaonekana kama 'full time' wako serious usoni hiyo daladala ni ya kuelekea Gongolamboto.

Ukiona daladala jingine waliopanda wengi wafupi kwa kimo na wana sura za tabasamu tabasamu hiyo ni daladala ya kuelekea Kigogo
 
Kuna watu wamekariri kuwa Dar es salam ndo mkoa mzuri kuliko lakini wala siyo kweli!
Hali hiyo imepelekea watu kuishi kwa kupigika!

Labda mtu aeleze uzuri upo ktk nini vinginevyo si sawa!

Maisha ni popote mradi kujipanga tu!

Kuna watu wala hawapo tayari kuishi Dar hata apewe nini!

Akiangalia upatikanaji wa vyakula vya asili (organic food), foleni za barabarani, miundombinu kwa ujumla, msongamano wa makazi , hali ya hewa n.k

Mikoani kuzuri sana !
 
Baiskeli zao kwa jinsi walivyo warefu wakinunua baiskeli mpya huwa wanaenda kwa mafundi Bomba wakate kiti Cha baiskeli waunge Bomba lingine refu zaidi la kiti Cha kukalia kipande juu mawinguni ili waendeshe kwa Raha baiskeli wakikaa.Serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki waunde baiskeli special kwa ajili ya wakurya.Sijawahi muona mkurya dereva bodaboda hivi na ule urefu wao miguu ataiwekaje kwenye bodaboda Urefu nafikiri ndio kisa Cha kutokuwepo madereva bodaboda wakurya
Kitunda inahusika hapo.
binamu yangu @jessejohn njoo uweke neno hapa
 
Kuna watu wamekariri kuwa Dar es salam ndo mkoa mzuri kuliko lakini wala siyo kweli!
Hali hiyo imepelekea watu kuishi kwa kupigika!

Labda mtu aeleze uzuri upo ktk nini vinginevyo si sawa!

Maisha ni popote mradi kujipanga tu!

Kuna watu wala hawapo tayari kuishi Dar hata apewe nini!

Akiangalia upatikanaji wa vyakula vya asili (organic food), foleni za barabarani, miundombinu kwa ujumla, msongamano wa makazi , hali ya hewa n.k

Mikoani kuzuri sana !
Hakunaga kama dar jombaaa
 
Na ukiona wengi wanagombania daladala ujue ni sisi sisi wa Kimara yaani sisi wa Kimara tumeambukizwa fujo na wale wa Gongo la mboto au Mbagala
Kuna tofauti kugombania mfano kimara wakigombania huwa hawapigi makelele Ni kimyakimya nikajiuliza kwa Nini wanalinda simu zao za Bei na pochi zaidi hawako tayari kuongea au kuongeleshwa wasi loose focus ya kulinda simu na pochi..Gongo la mboto pia hawaongei mibavu ndio inaongea ukujibanisha vibaya mlangoni ukigombea waweza vunjwa mbavu watu Wana nguvu kweli kweli SI wanaume SI Wanawake .Mlangoni ile methali ya mwenye nguvu mpishe utaiona kwenye kugombea daladala la gongolamboto na huibi Cha mtu ngumi Moja utaishia mortuary..Mbagala watu hupanda kea kugombea kwa kelele humwibii mtu Hana Cha kuibiwa ukiiba simu ni Nokia tochi na pesa labda umwibie nauli Tena iko chenji kamili.Kwa hiyo hawajali wao kupandia madirishani Sio taabu mifuko ya suruali myeupe hata Vibaka wanajua kuwa Basi la mbagala Sio dili na uzuri wengi hukaa mbagala kwa hiyo hawawezi waibia was kwao.In terms of safety ya kuibiwa mabasi ya mbagala yako more safe kuliko ya kimara.Ya kimara abiria chunga mzigo wako
 
Kuna watu wamekariri kuwa Dar es salam ndo mkoa mzuri kuliko lakini wala siyo kweli!
Hali hiyo imepelekea watu kuishi kwa kupigika!

Labda mtu aeleze uzuri upo ktk nini vinginevyo si sawa!

Maisha ni popote mradi kujipanga tu!

Kuna watu wala hawapo tayari kuishi Dar hata apewe nini!

Akiangalia upatikanaji wa vyakula vya asili (organic food), foleni za barabarani, miundombinu kwa ujumla, msongamano wa makazi , hali ya hewa n.k

Mikoani kuzuri sana !
Acha mawazo ya kizee wewe. Mambo yote iko Dar.
Hata hapo kwenu Dodoma au Simiyu. Mabasi yote mazuri ni ya Dar. Warembo wote wazuri wametokea Dar. Viongozi wako wa juu lazima waliishi au walisoma Dar. Hata mpishi mzuri hotelini lazima aliishi au kusomea Dar.
Dar hakuna mwenye Tecno ukiondoa madiwani wa ccm
 
  • Thanks
Reactions: _ID

Ni zaidi ya unavyofikiri!
 
Back
Top Bottom