Namna ya kujua baadhi ya daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia abiria tu ukiwa Dar es Salaam

Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
992
Points
1,000
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2014
992 1,000
Hivi kwa nin hawa waigizaji huwez kuta wanaigizia mahali kama temeke, mbagala buguruni au ilala wao wana base tu kino hata daladala zinazoonekana ni mwenge, masaki yaan morogoro road upande wa juu tu
 
Bwana Mkubwa9

Bwana Mkubwa9

Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
44
Points
125
Bwana Mkubwa9

Bwana Mkubwa9

Member
Joined Oct 15, 2016
44 125
Kwa kiasi kikubwa upo sahihi kabisa.
Gongo la mboto na Ukonga wamejaa kina Mura wengi sana.

Halafu hiyo Kimara na Mbezi Mwisho mpaka vitongoji vyao vyote ni watu wa mikoa ya kaskazini wakiongozwa na wachaga.

Temeke yote hiyo haina hata haja ya kuuliza mara mbili.
Wenye mji wao wengi ndio wapo huko wanaishi na watu wa mikoa ya kusini.

Halafu umesahau pia eneo kubwa la Ilala ile katikati ya K/koo na Buguruni ni machotara wa kiarabu na kihindi.
Yaani mitaa ile ni kama kila baada ya nyumba mbili kuna chotara au nyumba ya mzee mwenye asili ya Asia.
Hawa wengi wao ni wale waarabu wasiokuwa na hela nyingi saaana kama wenzao wanaoishi kwenye "kota" zao za mjini kati na ndio maana huwa tunabanana nao kwenye magari ya Mnazi mmoja/Simu 2000😂😂😂
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
5,368
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
5,368 2,000
Nasubiria uzi wa stendi zenye totoz nzuri na stendi zenye totoz za ovyo
Utuleteee mkuu YEHODAYA

ova
Nadhani stendi ya makumbusho ndo inaongoza Kwa watoto wazr.

Wanachuo,wafanyakazi wa posta wengi hupita pale.




Ila stendi ya mbagala hapana aisee sio Kwa Sura zile za wacheza vigodoro
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
5,368
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
5,368 2,000
Temeke Wazaramo, wamwera, wamakonde
Mwenge Masaki TICK
Kimara Wezi
Kigogo Waluguru, wakaguru
Gongo la mboto washenzi
Keko wanyakyusa
Mwananyamala wasambaa
Buguruni wahaya
Buguruni umebugi kuna waarabu na waswahili kibao labda kama unaongelea biashara kongwe
 
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
1,613
Points
2,000
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
1,613 2,000
Hivi kwa nin hawa waigizaji huwez kuta wanaigizia mahali kama temeke, mbagala buguruni au ilala wao wana base tu kino hata daladala zinazoonekana ni mwenge, masaki yaan morogoro road upande wa juu tu
Huko kwenu temeke wasije wakaibiwa camera na vifaa
 

Forum statistics

Threads 1,326,620
Members 509,543
Posts 32,228,534
Top