Namna ya kujiondoa Facebook!!

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Nimeona facebook ni ujinga mtupu.Kindly help namna ya kujivua gamba (kujiondoa)facebook
 
baada a ku log in..click kwenye kale ka mshale kameelekea chini (juu kabisa kulia) itafunguka menu then click kwenye account settings, utaona navigation menu ndogo kushoto click kwenye security, afu ikifunguka chini kabisa utaona kwa maandishi madogo yameandikwa deactivate your account click hapo utapata utaratibu wa kufuta account yako...au jaribu kufata link hii : https://www.facebook.com/settings?tab=security (itakuhitaji ku login)..
 
baada a ku log in..click kwenye kale ka mshale kameelekea chini (juu kabisa kulia) itafunguka menu then click kwenye account settings, utaona navigation menu ndogo kushoto click kwenye security, afu ikifunguka chini kabisa utaona kwa maandishi madogo yameandikwa deactivate your account click hapo utapata utaratibu wa kufuta account yako...au jaribu kufata link hii : https://www.facebook.com/settings?tab=security (itakuhitaji ku login)..[/Q..ahsante sana mkuu
 
Sijui nini, nami nashukuru kwa maarifa uliyotupa.

Nimekwisha wahi ulizwa hilo swali nakajibu sijui. Sasa nitaifanyia majaribio kwa ku-log up with fake username na kisha kujitoa.

Aminia mkuu.
 
baada a ku log in..click kwenye kale ka mshale kameelekea chini (juu kabisa kulia) itafunguka menu then click kwenye account settings, utaona navigation menu ndogo kushoto click kwenye security, afu ikifunguka chini kabisa utaona kwa maandishi madogo yameandikwa deactivate your account click hapo utapata utaratibu wa kufuta account yako...au jaribu kufata link hii : https://www.facebook.com/settings?tab=security (itakuhitaji ku login)..

Mh kudeactivate account na kudelete account ni vitu vi2 tofauti,huyu jamaa ana nia ya kujivua gamba(kudelete account),ukideactivate then after 24hrs unaweza uka-activate tena so naona haitomsaidia hii)
 
sasa si utufundishe kudelete
 
kwa nini unajitoa???,si uiingie tu...? mie nipo kule kufata umbea wa status na kuchat na ndugu zangu.....
 
nenda kwenye account kisha click help then andika 'delete my account'. Option zinakuja pale. Ukishakomand delete unapewa siku 14 za kujitathmini, na kipindi chote hiki hutakiwi kulog in. Mi niliweza na hatimaye sasa sina account fb. Kiukweli fb inapoteza muda sana
 
Permanently delete your Facebook Account
To delete your account from facebook, you would need to take a different approach, follow the steps below one by one to completely erase facebook account.

In order to delete the facebook account, you first need to login in facebook

1. Once you are logged in facebook, go to this link
2. You will see page asking you to confirm whether you want to delete your facebook account completely – click Submit to confirm it

3. Now you will need to enter the password of your facebook account again, type the security check words without any space and click Okay

4. Now you will see the message which tell you that your facebook account will be deleted in next 14 days – and you can also cancel the account delete request by logging in facebook again and then once you confirm by clicking Okay you will be logged out automatically.
 
Back
Top Bottom