si rahisi kama mdhanivyo maana kurecord kwenye 6 kwa 6 labda huja zama kwenye ndimbwi la mahaba kiasi cha kufa ngazi huwezi kukumbuka kabisa akili huja pale umeshafika mwisho ndio maana HIV inatuchukua kila siku condom huwa watu wanakuwa nazo mifukoni/mikoba lakini akifika kwenye mchezo huwa akili ya kuwaza kama kuna kifo inapotea ghafla na huja baada ya kukamilisha tendo.
Jamani hii kitu mimi huwa kinanichanganya hasa kunako 6x6. Wakati wa majamboz baadhi ya wanawake huwa wanatoa sijui tuite sauti, kilio au kelele au mhemko wa kimapenzi. Sasa sauti hizi huwa ni za furaha au maumivu? Kuna dada mmoja alimwambia jamaa yangu kuwa sijawahi kumpata mwanaume anayeniridhisha kama wewe lakini tatizo wewe mwanaume huliiii?
Je kulia kuna nafasi katika mapenzi? Anayekata viuno kisawasawa bila kulia na anayekayelia mwanzo mwisho lakini hashughuliki ni yupi zaidi?
Asanteni kwa michango yenu ili kulinda na kudumisha mahusiano katika ndoa/ndoano/nyumba ndogo/mafiga matatu..... wherever you prefer! :behindsofa:
Wengine ni UTAMU unakolea na wengine huwa wanaumia ukizingatia mabaunza na wanaume wenye ukuni wa maana. sasa kitu kinaponoga vilivyo miguno hutawala na kwa upande mwingine mchi unapozidi kinu kilio kitafuata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.