Namna ya Kujikinga na Makelele ya Miguno ya Mapenzi...

Namna ya Kujikinga na Makelele ya Miguno ya Mapenzi...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
5.jpg
[h=1]How To Stop Your Neighbors From Having Loud Sex[/h]
 
bora huyu kamrekodi so,
manake kuna wengine utafikir wanazama kwenye mto lolest!
dawa unawarekodi tu kama huyu
 
bora huyu kamrekodi so,
manake kuna wengine utafikir wanazama kwenye mto lolest!
dawa unawarekodi tu kama huyu

Ni kweli....lakini yataka moyo sana kukumbuka kurecord, wengi wanaishia puchu
 
Teheteh! Alikuwa na ujasir wa kurecord?mie ningevaa headphones then nalala unono
 
Boflo looooooh unafikiri ndo tutapunguzaaaa......?!?!?
 
Last edited by a moderator:
Duh......
Mi mwenzenu nikiwa kwenye majamboz ndio maana naamua kulala kama gogo, maana nikisema niweke makashkash, kelele zinakuwa nyingi, yaani kama honi za mabasi ya zamani ya kwenda mombasa.
Kwa hiyo kitu nikikichomeka tu ndio unakuwa mwisho wa ku pump
 
Ni hapo sasa unawarekodi huku na wewe unapiga puchu. Sauti yako inachanganyika na yao. Sorry, ama puchu ni silent? Lol.
Ni kweli....lakini yataka moyo sana kukumbuka kurecord, wengi wanaishia puchu
 
Hii ndiyo kiboko ya wanaopiga kelele wakati wa chakula cha usiku
 
Hizo ndio changamoto za upangaji hakuna jinsi maana tunakaa kwenye nyumba ambazo wakati mwingine hazina privacy, kama mtu unakaa nyumba haina ceiling board unategemea nini? (uvumilivu tu ndio unatakiwa hapa maana kelele zingine ni za kawaida ila nyumba tunazoishi ndio zinasababisha tusikie yale yasiyotuhusu)
 
Ha haaa .....Mh kwani hakuna cieling board kwa hiyo nyumba. Enzi hizo niliwahi kwenda kwenye mechi za ugenini nakukuta nyumban haini cieling hizo kelele sasa alizokuwa akipiga huyo demu mpaka nakasema anawakomoa jirani zake asubuhi nilitoka jogoo la kwanza sikutaka ushahidi.
 
Lazima nimpelekee mke wangu, maana kuna mtu anatukera kupita maelezo, yaani ile nyuma isngekua na ukuta hata sijui ingekuaje maana hapo ni ukuta na ukuta na kuna upenyo mkubwa tu kati ya nyumba moja na nyingine lakini kila siku saa nane hadi kumi asubuhi lazima ushtuke.....kweli usiombe
 
Back
Top Bottom