Namna ya Kujikinga na Makelele ya Miguno ya Mapenzi...

umeona eeh paloma,diego hajambo???

uuuuwi pono hajambo kabisa. sasa ebu fikiria nilivopata naye shida vile kumuweka himayani afu mtu aniambie eti nipunguze miguno......wapiiii!!!
 
Last edited by a moderator:
Hizo ndio changamoto za upangaji hakuna jinsi maana tunakaa kwenye nyumba ambazo wakati mwingine hazina privacy, kama mtu unakaa nyumba haina ceiling board unategemea nini? (uvumilivu tu ndio unatakiwa hapa maana kelele zingine ni za kawaida ila nyumba tunazoishi ndio zinasababisha tusikie yale yasiyotuhusu)

Umhhhhhhhhhhhhhhhh... Makubwa hayo!
 
Lazima nimpelekee mke wangu, maana kuna mtu anatukera kupita maelezo, yaani ile nyuma isngekua na ukuta hata sijui ingekuaje maana hapo ni ukuta na ukuta na kuna upenyo mkubwa tu kati ya nyumba moja na nyingine lakini kila siku saa nane hadi kumi asubuhi lazima ushtuke.....kweli usiombe

Wewe ni jirani yangu nini?
 
Inabidi Kufunga sound proof chumban,hata apige ukunga/mayowe wewe tu unazidisha kugongelea msumari
 
Kununa kwa jirani hakumzuii dada/njemba kuacha kujirusha kwa raha zake nyumbani kwake.
 
Makelele ya aina hiyo yanadhibitiwa na Taarabu la mzee yusuf..Unafunga spika la kichina chumbani kwako huko nje wanaburudika tu....Hii inaaply sana uswazi
 
Makelele ya aina hiyo yanadhibitiwa na Taarabu la mzee yusuf..Unafunga spika la kichina chumbani kwako huko nje wanaburudika tu....Hii inaaply sana uswazi

Kuna FFU aliniazima spika na CD akaniambia Hanga lao (mabweni ya NCO's jeshini) wanakata vyumba kwa vitambaa lakini nyimbo za visichama na wadada ni balaa hasa usiku wanapopokeana shift na mara nyingi wanazungukana kufuata yule wa juzi aliyetoa manjonjo km jamaayake kapangwa lindo mmmmm patamu hapo nyumba za kupanga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ha ha ha! Hiyo kweli kali...Yani wanazungukana kumpata mwenye makelele zaidi? Lkn nao watakuwa wachafu..
 
Back
Top Bottom