Mnamshambulia bure jamaa alieyeandika hili bandiko lake, na hana mahali alipokosea, ila nilicho notice ni kwamba watu wanachanganya kuhusiana na BLOGSPOT na self hosted websites. Kwa kifupi ni hivi:
1. Blogspot (a.k.a blogger) ni free blogging platform ambayo inatolewa na kuwa hosted na google
2. Waweza amua kubaki na default address ya google ambayo ni (xxxxx.blogspot.com) au waweza amua kununua domain yako uipendayo (.com, .net, .org, .co.tz etc), na site yako ikawa xxxxx.com etc
3. Gharama ya domain ni roughly around Tsh. 25,000
4. Kubadili address ya blog yako hakutabadili content wala muonekano wa site yako, its just address or url
5. Kubadili huku kuna involve some settings kwenye domain control panel (ulikosajili domain), pamoja na kwenye dashboard yako ya blogger (blogspot)
6. Settings hizi ambazo ni necessary kubadili kwa blogger ni CNAME na wala sio DNS, as DNS inabaki ile ile default ya registrar wako wa domain.
Sasa kwa maelezo haya mafupi sioni tatizo la mtoa post kwa sababu amesema anaweza akakusajilia domain (say kwa 25,000) halafu akakufanyia hizo settings ili uwe na custom domain badala ya kutumia address ndefu ya .blogspot.com so hapo yeye ataambulia sh. 25,000 which is quiet fairly, wabongo tusipende sana kukosoana.
Kama hujanielewa ni pm
:coffee: