Namna ya kufika Botswana kutokea Dar es salaam

Kama huna mwenyeji inakuaje sasa na pengine mtu unaenda kutafuta maisha

issue unaenda kufanya nini
lazima wakuoji migration
Mara ya kwanza naenda cm ilizima chaji so sikuwa na address kichwani ilibidi nipige chabo kwa wahindi nilibadilisha no Tu
ikabuma ikabidi Ni charge cm nipate address na hapo Ni mpaka WA south Africa na Botswana before kwenda make sure Una reason ya kusema kutafuta maisha iwe rohoni mwako
good luck
 
Asante sana mkuu kwa hiyo ni lazima niwe address ya ninapokwenda kufikia au? Na kama sina inakuaje mkuu! Nijulishe ili niondoke najua kabisa kua kuna a, b, c.
 
address ya Gaborone utaipata tuu kwa kuwauliza abiria ulio jirani nao kwa kufundisha Botswana na South Africa bado wanahitaji walimu hasa shule binafsi ila ni bora ukaanzia Gaborone maana kule wamelala sana kuliko SA..
 
Panda taqwa kutoka dar mpaka lusaka halafu hapo utapanda basi mpaka kazingula border. Pale unavuka kwa kivuko then utapanda basi mpaka Francis town ambao ni mji wa pili kwa ukubwa Botswana. Hapo utapata gari za kwenda Gaborone. Gharama zote fanya kama laki 3 hivi.
Haifiki mkuu kwa kuunga
35 mpaka Mbeya, 20 mpaka Lusaka na 80 mpaka Francis town au 90 hadi Gabs.
Kumbuka tu cheti cha yellow fever.
 
address ya Gaborone utaipata tuu kwa kuwauliza abiria ulio jirani nao kwa kufundisha Botswana na South Africa bado wanahitaji walimu hasa shule binafsi ila ni bora ukaanzia Gaborone maana kule wamelala sana kuliko SA..

Kuna Mtanzania anafundisha Chuo PIA Ana tuition center yake PIA anauza na bidhaa za chakula kutoka tz hadi Nazi za Azam
 
Haifiki mkuu kwa kuunga
35 mpaka Mbeya, 20 mpaka Lusaka na 80 mpaka Francis town au 90 hadi Gabs.
Kumbuka tu cheti cha yellow fever.
Mkuu hiki cheti cha yellow fever inakuaje tena? Nielezee kidogo mkuu nijue
 
Habari za mwisho wa wiki waungwana?
Naomba anayejua namna ninavyoweza kufika Botswana kutokea Dar anisaidie maelekezo ila isiwe kwa ndege.
Nahitaji kwenda Botswana kujaribu nafasi nyingine ya maisha.
Pia naomba kujua inabidi niwe na documents gani ili niingie kwa njia halali.
Nimeamua hivi kwa sababu Botswana ni nchi ya ndoto yangu tangu nikiwa mdogo. Hivyo nimeona nikajaribu bahati yangu huko.
Nawasilisha

Oyaaa kua na document kamili na pesa za kuanzia maisha. Panda basi la taqwa ama falcon. Tiket kata pale kariakoo. Unaweza kata hadi lusaka zambia ama livingstone. Bora upage taqwa la bulawayo ushuke livingistone kwani ni karibu na boda ya botswana. Zambia utatumia transit visa. Kwa vile wewe ni mzamiaji basi pia botswana tumia transit visa kwamba unaenda sauzi. Ila ndio hivyo gesti gharamakama elfu hamsini kwa siku. Kazi kwako. Bora ubebe biashara ya kwenda nayo maisha sio rahisi. Beba hata mavitenge au jeans za kike za kariakoo
 
Chukua spider from uganda to kenya tanzania final destination to harare zimbabwe....
Hapo utachukua mashine nyingine ya kwenda huko uendako
 
Back
Top Bottom