Namna ya kufahamu nauli za mabasi mikoa mbalimbali

Bijang

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
265
548
Habari zenu,

Tupo katika kipindi cha mwisho mwaka 2023 ambapo siku si nyingin tunauanza mwaka 2024 kwa heikam zake Mungu.

Tunafahamu watu wemgi wanasafiri katika kipindi hiking cha sikukuu hivo ni vema tukajuzana huko uliko nauli zipoje ili wanabodi wafahamu

Kwa kuanzia hii ni sehemu ya kiungio kinaachoonesha nauli kutokea mikoa ya kanda ya ziwa kwenda Dar es Salaam

Ikiwa unayo nyingine ya kanda ya kusin, kaskazini kanda ya kati nakadhalika karibun sana tusaidiane
 
Back
Top Bottom