Namna ya kudownload video youtube

Namna ya kudownload video youtube

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Wanabodi najua humu kuna wataalamu wa kila aina. Kuna jamaa yangu anatumia simu ya NOKIA X2-1. Ina uwezo wa kudownload mp3 na video kwenye waptric lkn kama mnavyojua vitu vingi havik kule tu. Naombeeni msaada nimwelekeze ni njia/program gani aitumie kudownloa video za youtube au program?
Nimemwambia JF ni kila kitu yy anipe muda tu. Plz msiniangushe.
 
nenda jukwaa la jf store.kule utapata msaada.
 
kwenye link ya video unayoitaka, tuseme www.youtube. com/john miser.maccoy futa www. andika ss inakua ssyoutube.com/john miser.maccoy kisha load hiyo link ukachague format uipendayo na itaanza kudownload
 
me nadowload movies kila siku pamoja na muziki wwt niutakao kwenye youtube. Ni rahisi sn.
Nenda hiyo waptrick.com. Search tubemate pale kwny search halafu utaclick applications. Utaikuta na kudownload nakuinstall. then, utakwenda kuifungua hiyo appl kwny progs zako. hapo utaserach muziki ama movie yyt utakayoitaka nyingine hadi HD full movies lakini wamezicondens kwa ajili ya mobile. ukishindwa nambie. Ni prog bomba sn
 
Back
Top Bottom