Namna ya kudili na askari au polisi

Namna ya kudili na askari au polisi

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,177
Reaction score
14,156
Uzi tayari
FB_IMG_15790060946096809.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi huu umenivunja mbavu... nimejikuta najenga picha (maelezo) mingi mingi yani

Hivi hiyo ya chini hapo wapo hewani wote wawili au[emoji848]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Usikute hiyo ilikuwa ni movie! Wadanganye wenzio kitakacho wakuta tutawajua kwenye ulaji wa chapati tu! Aking'ata ramani ya mapengo inabaki kwenye chapati kwa mara ya kwanza ndo mtajua kumbe chapati ni ubao mzuri wa mapengo!
 
Eti movie... Unawajua wahongkong wewe
 
Back
Top Bottom