umenifundisha uogaUkishamweka hivyo utamaliza kila kitu
umenifundisha uogaUkishamweka hivyo utamaliza kila kitu
Hamna.... Ukimtupa hivyo kama ana kitu chochote mkononi ni rahisi kuachia... Sema awe 1 tuumenifundisha uoga
Bila shakaUzi huu umenivunja mbavu... nimejikuta najenga picha (maelezo) mingi mingi yani
Hivi hiyo ya chini hapo wapo hewani wote wawili au[emoji848]
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Itakuwa ni Hong KongHio itakua iran kwenye maandamano
Ukitoka mzima unabambikiwa kesi ya uhujumu uchumina ufanikiwe kumaliza mchezo kabisa vinginevyo lazima utapata jina tu ,kama si marehemu basi kiwete
Hapo ile methali ya ..."hujafa hujaumbika"...imetisha!😂😂😂😂😂
Itakuwa Venezuela... Huko wahuni wako bange, wako cocaine hawana Cha kupoteza.
Likely ni Hong Kong hapoItakuwa Venezuela... Huko wahuni wako bange, wako cocaine hawana Cha kupoteza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi huu umenivunja mbavu... nimejikuta najenga picha (maelezo) mingi mingi yani
Hivi hiyo ya chini hapo wapo hewani wote wawili au[emoji848]
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app