Bujibuji hizo zote ni tabia zako?? kuna usalama kweli
Mi sielewi...... hivi ukiacha pombe hii serikali itapata wapi mapato?
Msaada tafadhali
Mie nilikuwa na udhaifu huo, lakini baada ya kujifunza maarifa ya UTAMBUZI nilimudu kuacha vyote na sasa nina ndoa imara na sisumbuliwi na anasa za dunia.....................
Kuna moja sijaisema. Mi ni mwana sayansi wa anga za juu. Wabaya wangu huniita mchawi
siku hizi tunaita african science and technology! nitakusaka aisee tufanye utafiti wa jinsi ya ku-officiate usafiri wa ungo tuokoe mazingira
Jestina, maisha ya Dsm hayafai, tuna tatizo kubwa sana muda. Muda haututoshi, mabwawa ya kuogelea yako mbali tena nayo yanagfumgwa saa 12 na mashamba pia hatuna.
Mkuu mimi nadhani wewe ulikunywaaaaaaaaaa, ukavutaaaaaaaa na kugongaaaaaaa weeeeeeeeeeee then ukachoka ukaamua kutulia period. Inatutokea wengi tu ni kitu cha kawaida sana.Mie nilikuwa na udhaifu huo, lakini baada ya kujifunza maarifa ya UTAMBUZI nilimudu kuacha vyote na sasa nina ndoa imara na sisumbuliwi na anasa za dunia.....................