Namna wanawake walivyokuwa wakivaa kabla Shetani mwenyewe hajakalia Cherehani

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
1579024888956.png
 
Ila wanawake wanaovaa kiheshima hivi huwa nawapenda tu ghafla... Hasa yale mavazi ya wax na batiki... Dah,sema mara nyingi wanaovaa ni wamama wa makamo..
 
Ni sheria ya nani kuwa fulani avae hivi? Ni kutaka kuwafanya wenzao watumwa. Let him or her put on attire of his / her choice? Whose dressing codes are the codes? Whose dressing standards are the Standards?
Ni kweli, hata wakitakamkutembea uchi watembee tu, ndipo tulipofikia.

Ogopa sana kizazi kisicho maadili, ni upofu mbaya mno?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kweli shetani anahusika sana na charahani za siku hizi maana mpaka kuna wakati mimi ndio naona aibu huko mitaani...
 
They designs,
They put their agenda in fashion industry
They put dressing standards,
They pay artist, musicians and actors to influence you,
They uses media to influence you.

Who are they?

Ni sheria ya nani kuwa fulani avae hivi? Ni kutaka kuwafanya wenzao watumwa. Let him or her put on attire of his / her choice? Whose dressing codes are the codes? Whose dressing standards are the Standards?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli, hata wakitakamkutembea uchi watembee tu, ndipo tulipofikia.

Ogopa sana kizazi kisicho maadili, ni upofu mbaya mno?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Let them do it...walk naked... as long as they are not against the law of the Land; and those laws must be just laws! Not oppressive law otherwise they stand to be opposed! Maadili ya nani? nani aliweka maadili hayo? Kwa makubaliano na nani?
 
Back
Top Bottom