Mwenzio anazungumza kimaasaiMaarage ndio kidude gani?
Yanaitwa maharage au maharagwe
Mwenzio anazungumza kimaasaiMaarage ndio kidude gani?
Yanaitwa maharage au maharagwe
Sifa nzuri ya maharage ni gasi Sasa kitungui kitatoa gasi sitashiba itabidi nile plate za wali tatu kama wali samaki haushibishi.😁😁Kuna tip moja ya kupika maharage, Wakati unachemsha weka kitunguu kimoja kizima (menya maganda yake ya nje) ndani ya maharage kichemke na maharage halafu ukitoe baada ya kuiva.