NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Kwani ofisi yako si ndiyo inakuhamisha au ukepewa mzigo unataka kuubania?Wakuu,habari ya mapumziko (waliopumzika)habari ya majukumu(wanaoendelea na kazi)?
Mimi ni muajiriwa ninafanya kazi Dar es salaam.Bado sijajijenga sana,ofisi imeamua kuniamishia Dodoma,natafakari namna nitakavyoweza kusafirisha mizigo(vitu vya ndani).vitu nilivyonavyo Kwa haraka haraka ni hivi
i)vitanda viwili na magodoro yake
ii)Kabati ya Nguo milango 4 ya kuchonga keko
iii)Kabati la vyombo milango 2 la kuchonga Keko.
iv)TV case kubwa,ya kuchonga Keko
v)TV
iv)Fridge mdogo
v)stend ya viatu na mikoba ya chuma,kubwa
vi)meza ya sebuleni
vii)Sofa seti 1½
viii)Meza ya kupikia na mtungi mdogo
ix)Vyombo vya kabatini(vimejaa kwenye Kabati tajwa.Na vingine vidogovidogo
x)Meza moja ya ofisi na kiti chake kikubwa cha kuzunguka.
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu,kampuni za kusafirisha mizigo kwa being nafuu kidogo.Je kwa vitu nilivyoviorodhesha hapo shilingi ngapi hasa inaweza kufaa/kutosha kusafirisha mizigo tajwa?.Naonbeni msaada wakuu.
Hakuna specific viwango vya kiasi gani hasa nitapewa kwa ajili ya kusafirisha mizigo,itategemea namna tutakavyo bargain, ndio msingi hasa nataka kujua hasa kwa anayefahamu makampuni haya na mzoefu wa shughuli hizi anayeweza kunipa estimation ili nipate pakuanzia muda wa kufanya bargaining utakapofika mkuu.Kwani ofisi yako si ndiyo inakuhamisha au ukepewa mzigo unataka kuubania?
Shukrani chief nitatembelea mahali hapo mkuu wangu.nenda jangwani karibu na yanga... utapata majibu
Wewe kwa hapa Dar unaishi wapi?Nenda yanapopaki yale malori ya route ndefu, kuna madalali watakuunganishia gari tena bei rahisi tu
Unataka kuja kwangu?Wewe kwa hapa Dar unaishi wapi?
Kwa uzoefu haya yanapaki wapi mkuu?.Estimation kwa hivyo vitu nilivyoorodhesha hapo unaweza kuwa shilingi ngapi mkuu?.Nenda yanapopaki yale malori ya route ndefu, kuna madalali watakuunganishia gari tena bei rahisi tu
Mkuu pengine alitakakujua kwangu niliyetoa hoja.Unataka kuja kwangu?
Anataka kuwa mgeni wako kama aujaolewaUnataka kuja kwangu?
Unaweza ukawa unaishi vikindu huko na gari inapatikana mwenge huoni kutakuwa na tatizo?kwani Dar una kwako nimekuuliza unaishi wapi kwa hapa jijini?Unataka kuja kwangu?
Kuhusu kusafirisha mizigo kwenda Dodoma, ni rahisi. Chukua mizigo yako mpaka kariakoo mtaa wa Muheza na Natung'ombe, pale kuna transporter wa uhakika na bei ni nafuu sana. Unaweza kuwapigia kwa namba hii mka-bargain kabisa. Namba zao ni 0628 923 514, 0714 093 477.Wakuu,habari ya mapumziko (waliopumzika)habari ya majukumu(wanaoendelea na kazi)?
Mimi ni muajiriwa ninafanya kazi Dar es salaam.Bado sijajijenga sana,ofisi imeamua kuniamishia Dodoma,natafakari namna nitakavyoweza kusafirisha mizigo(vitu vya ndani).vitu nilivyonavyo Kwa haraka haraka ni hivi
i)vitanda viwili na magodoro yake
ii)Kabati ya Nguo milango 4 ya kuchonga keko
iii)Kabati la vyombo milango 2 la kuchonga Keko.
iv)TV case kubwa,ya kuchonga Keko
v)TV
iv)Fridge mdogo
v)stend ya viatu na mikoba ya chuma,kubwa
vi)meza ya sebuleni
vii)Sofa seti 1½
viii)Meza ya kupikia na mtungi mdogo
ix)Vyombo vya kabatini(vimejaa kwenye Kabati tajwa.Na vingine vidogovidogo
x)Meza moja ya ofisi na kiti chake kikubwa cha kuzunguka.
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu,kampuni za kusafirisha mizigo kwa being nafuu kidogo.Je kwa vitu nilivyoviorodhesha hapo shilingi ngapi hasa inaweza kufaa/kutosha kusafirisha mizigo tajwa?.Naonbeni msaada wakuu.
Shukrani sana mkuu.Kuhusu kusafirisha mizigo kwenda Dodoma, ni rahisi. Chukua mizigo yako mpaka kariakoo mtaa wa Muheza na Natung'ombe, pale kuna transporter wa uhakika na bei ni nafuu sana. Unaweza kuwapigia kwa namba hii mka-bargain kabisa. Namba zao ni 0628 923 514, 0714 093 477.
Umechanganya madesa sio mie nnaehama!!! PoleUnaweza ukawa unaishi vikindu huko na gari inapatikana mwenge huoni kutakuwa na tatizo?kwani Dar una kwako nimekuuliza unaishi wapi kwa hapa jijini?
Hata mi nmeona hilo kachanganya mafailiMkuu pengine alitakakujua kwangu niliyetoa hoja.
kwa hapa dar sina uhakika yanapopakiKwa uzoefu haya yanapaki wapi mkuu?.Estimation kwa hivyo vitu nilivyoorodhesha hapo unaweza kuwa shilingi ngapi mkuu?.
Shukrani mkuu,ngoja nifanye mchakatoNilisafirisha 450k by fusso