NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Wakuu,habari ya mapumziko (waliopumzika)habari ya majukumu(wanaoendelea na kazi)?
Mimi ni muajiriwa ninafanya kazi Dar es salaam.Bado sijajijenga sana,ofisi imeamua kuniamishia Dodoma,natafakari namna nitakavyoweza kusafirisha mizigo(vitu vya ndani).vitu nilivyonavyo Kwa haraka haraka ni hivi
i)vitanda viwili na magodoro yake
ii)Kabati ya Nguo milango 4 ya kuchonga keko
iii)Kabati la vyombo milango 2 la kuchonga Keko.
iv)TV case kubwa,ya kuchonga Keko
v)TV
iv)Fridge mdogo
v)stend ya viatu na mikoba ya chuma,kubwa
vi)meza ya sebuleni
vii)Sofa seti 1½
viii)Meza ya kupikia na mtungi mdogo
ix)Vyombo vya kabatini(vimejaa kwenye Kabati tajwa.Na vingine vidogovidogo
x)Meza moja ya ofisi na kiti chake kikubwa cha kuzunguka.
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu,kampuni za kusafirisha mizigo kwa being nafuu kidogo.Je kwa vitu nilivyoviorodhesha hapo shilingi ngapi hasa inaweza kufaa/kutosha kusafirisha mizigo tajwa?.Naonbeni msaada wakuu.