Namna nzuri ya kusafirisha mizigo mzigo kutoka Dar kwenda Dodoma

Wakuu,habari ya mapumziko (waliopumzika)habari ya majukumu(wanaoendelea na kazi)?
Mimi ni muajiriwa ninafanya kazi Dar es salaam.Bado sijajijenga sana,ofisi imeamua kuniamishia Dodoma,natafakari namna nitakavyoweza kusafirisha mizigo(vitu vya ndani).vitu nilivyonavyo Kwa haraka haraka ni hivi

i)vitanda viwili na magodoro yake

ii)Kabati ya Nguo milango 4 ya kuchonga keko

iii)Kabati la vyombo milango 2 la kuchonga Keko.

iv)TV case kubwa,ya kuchonga Keko

v)TV

iv)Fridge mdogo

v)stend ya viatu na mikoba ya chuma,kubwa

vi)meza ya sebuleni

vii)Sofa seti 1½

viii)Meza ya kupikia na mtungi mdogo

ix)Vyombo vya kabatini(vimejaa kwenye Kabati tajwa.Na vingine vidogovidogo

x)Meza moja ya ofisi na kiti chake kikubwa cha kuzunguka.

Naomba msaada kwa mwenye ufahamu,kampuni za kusafirisha mizigo kwa being nafuu kidogo.Je kwa vitu nilivyoviorodhesha hapo shilingi ngapi hasa inaweza kufaa/kutosha kusafirisha mizigo tajwa?.Naonbeni msaada wakuu.
Kwani si mliambiwa mtapewa MABEHEWA wewe hujapewa?
 
Nenda pale karibu na club ya Yanga kuna kampuni inaitwa Mussa transport watakusaidia bei zake ni reasonable and affordable
 
Back
Top Bottom