Namna nzuri ya kusafirisha mizigo mzigo kutoka Dar kwenda Dodoma

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Wakuu,habari ya mapumziko (waliopumzika)habari ya majukumu(wanaoendelea na kazi)?
Mimi ni muajiriwa ninafanya kazi Dar es salaam.Bado sijajijenga sana,ofisi imeamua kuniamishia Dodoma,natafakari namna nitakavyoweza kusafirisha mizigo(vitu vya ndani).vitu nilivyonavyo Kwa haraka haraka ni hivi

i)vitanda viwili na magodoro yake

ii)Kabati ya Nguo milango 4 ya kuchonga keko

iii)Kabati la vyombo milango 2 la kuchonga Keko.

iv)TV case kubwa,ya kuchonga Keko

v)TV

iv)Fridge mdogo

v)stend ya viatu na mikoba ya chuma,kubwa

vi)meza ya sebuleni

vii)Sofa seti 1½

viii)Meza ya kupikia na mtungi mdogo

ix)Vyombo vya kabatini(vimejaa kwenye Kabati tajwa.Na vingine vidogovidogo

x)Meza moja ya ofisi na kiti chake kikubwa cha kuzunguka.

Naomba msaada kwa mwenye ufahamu,kampuni za kusafirisha mizigo kwa being nafuu kidogo.Je kwa vitu nilivyoviorodhesha hapo shilingi ngapi hasa inaweza kufaa/kutosha kusafirisha mizigo tajwa?.Naonbeni msaada wakuu.
 
Kwani ofisi yako si ndiyo inakuhamisha au ukepewa mzigo unataka kuubania?
 
Hakuna specific viwango vya kiasi gani hasa nitapewa kwa ajili ya kusafirisha mizigo,itategemea namna tutakavyo bargain, ndio msingi hasa nataka kujua hasa kwa anayefahamu makampuni haya na mzoefu wa shughuli hizi anayeweza kunipa estimation ili nipate pakuanzia muda wa kufanya bargaining utakapofika mkuu.
 
Nenda yanapopaki yale malori ya route ndefu, kuna madalali watakuunganishia gari tena bei rahisi tu
 
Wakuu,habari ya mapumziko (waliopumzika)habari ya majukumu(wanaoendelea na kazi)?
Mimi ni muajiriwa ninafanya kazi Dar es salaam.Bado sijajijenga sana,ofisi imeamua kuniamishia Dodoma,natafakari namna nitakavyoweza kusafirisha mizigo(vitu vya ndani).vitu nilivyonavyo Kwa haraka haraka ni hivi

i)vitanda viwili na magodoro yake

ii)Kabati ya Nguo milango 4 ya kuchonga keko

iii)Kabati la vyombo milango 2 la kuchonga Keko.

iv)TV case kubwa,ya kuchonga Keko

v)TV

iv)Fridge mdogo

v)stend ya viatu na mikoba ya chuma,kubwa

vi)meza ya sebuleni

vii)Sofa seti 1½

viii)Meza ya kupikia na mtungi mdogo

ix)Vyombo vya kabatini(vimejaa kwenye Kabati tajwa.Na vingine vidogovidogo

x)Meza moja ya ofisi na kiti chake kikubwa cha kuzunguka.

Naomba msaada kwa mwenye ufahamu,kampuni za kusafirisha mizigo kwa being nafuu kidogo.Je kwa vitu nilivyoviorodhesha hapo shilingi ngapi hasa inaweza kufaa/kutosha kusafirisha mizigo tajwa?.Naonbeni msaada wakuu.
Kuhusu kusafirisha mizigo kwenda Dodoma, ni rahisi. Chukua mizigo yako mpaka kariakoo mtaa wa Muheza na Natung'ombe, pale kuna transporter wa uhakika na bei ni nafuu sana. Unaweza kuwapigia kwa namba hii mka-bargain kabisa. Namba zao ni 0628 923 514, 0714 093 477.
 
Shukrani sana mkuu.
 
Kwa uzoefu haya yanapaki wapi mkuu?.Estimation kwa hivyo vitu nilivyoorodhesha hapo unaweza kuwa shilingi ngapi mkuu?.
kwa hapa dar sina uhakika yanapopaki
Ila mi nlipata from dom to dar nlikua na vitu vingi ila nlitoa laki tu, kupitia hao madalali wa malori /mafuso
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom