namna mpya ya bundle airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

namna mpya ya bundle airtel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by teac kapex, Feb 23, 2012.

 1. teac kapex

  teac kapex JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  naomba kusaidiwa hivi airtel wamebadilisha namba zao? nimetuma neno internet kwenda 15444 lkn msg haiendi nikawa na mashaka kuwa labda wamebadisha. kama kuna namba mpya nisaidieni
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,107
  Trophy Points: 280
  hawabadilisha, jana mimi nilituma kiivyo na niliunganisha na zangu MB 400
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Kama inakataa amsg gani inakuletea?? ukute bundle lako bado lina mb kadhaa so huwezi kujiunga mpaka liishe lloooote
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Labda ni tatizo la mtandao kwani hata mimi siku za nyuma nishawahi kujiunga siku za nyuma ikasumbua hivyo hivyo ila baada ya muda ikakubali
   
 5. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu ni 15444
   
 6. R CHUGGA

  R CHUGGA Senior Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbona hata mm jana usiku nimejiunga kama kawaida hiyo itakuwa mtandao unasumbua!!subiri then baadaye kidogo ujaribu tena
   
 7. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni mtandao. Sasa nikupe ka-hint ka kupata slop. Ukiona mtandao wa airtel unagoma, basi unapokuja kureset hiyo msg itaenda. Kizuri ni kwamba, upo wkt ambapo unaweza kunufaika kwani utapata bando lako na ukicheki salio utaona halijatumika.
   
 8. s

  sirbaraka New Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimejiunga na bundle ya 400mb na ninatumia intanet kama kawaida lakin nashindwa kuwatch vidios za youtube ili ttz cjui ndo kwangu 2! memba nsaidien
   
 9. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hiyo bundle ni ndogo na wameibana speed yake, wanasema hiyo kuitumia kwa modem ni kama kuilazimisha, but ukivizia mida ambayo haiko busy sana, na pia ukiwa sehemu yenye netweki full unaweza ongea hata na skype, na kuwatch yutyubu
   
 10. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kama bandle yako ni ya 2500 ukiimaliza haraka huwaga wanagoma kukupa nyengine.
   
 11. d

  dav22 JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  noo hii sio sababu bandle wanakupa vizuri tu mi nimewahi tumia bandle yangu ndani masaa kadha nikatupia nyingine na ikagonga mzigo kama kawa na bando langu likawaupdated kama kawa.....huyu jamaa atakuwa amesumbulia na mtandao tu....
   
 12. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  nilipata tatizo kama hilo kwa muda siku tatu mfululizo. Nilipowafuata wakaniambia "service centre no. Sms setting ya kwenye simu yangu imebadiulika" ilipoandikwa kwa upya mambo saafi hadi leo. Tatizo hilo limejitokeza hata vodacom. Suluhisho ni la aina moja. Sms service centre kwenye handset yako unayoitumia kununulia bundles zako inajichakachua. Sijajua kuwa ni kirusi au la kinachofanya mabadiliko ya sms service centre no. Bila utashi wa mwenye handset.
   
 13. mazd

  mazd Senior Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi nikifikwa na tatizo hilo huwaga naaandika 'INTANETI" Badala ya 'internet' na inakubali kama kawa.
   
 14. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Mi nimeshasahau mambo ya kulipia bundle.Duh napata net free masaa 24 siku 365 za mwaka.Airtel bwana we acha tu
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tutakushitaki hujui kama Airtel ndiyo walipa kodi wakubwa hapa nchini tafadhali acha kuwaibia...hahahahah
   
 16. r

  robsson Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umefanyaje?
   
 17. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hii kali; ebu leta tips mkuu?
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  Kaka tatizo lako mi pia linanitokea tell me kati ya vitu hivi umevifanya?

  1) umejiunga boom club?
  2) umetumia usiku internet hadi umemaliza zile mb zao?
  3) umemaliza hela kwenye simu halafu ukaeka 2500 cash? Tell me then ntakupa sababu
   
 19. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  niPM hiyo ya airtel maana nina hamu nayo kinoma
   
 20. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Airtel wamezindua 3.75g network jana. Hii kitu balaa ukigusa tu page hiyo. Fastesti n kenya na pia being rolled out in USA na Europe. Unaweza kufanya video calls,watch online tv kwa raha yako. Gharama zao kwa hapa nafuu ukilinganisha na safaricom ksh 100 per 100 mb na ksh 250 per 300 mb(airtel Tz bei zao poa zaidi) .
   
Loading...