Sad. Hawa wanyama kama unawafuga na huwapendi jitahidi hata kwa kujilazimisha wakujue tu. Ishanitokea.Dog: the best man's friend bu can be harmful
hili kweli n tatizo kubwa aiseeeeeeeeeNimesikia akizungumzia kuhusu “grafting”, inaonyesha huyo mbwa aliondoka na big chunk of flesh/kipande kikubwa cha nyama kwenye mwili wake.
Mbwa ni wakwake lakini hawamfahamu, this is not good! This is old school.
Hapaa ndo sijaelewaaa.. MBWAA wako afuu wasikujuee mpaka wakufate na kukuuma..????Nimesikia akizungumzia kuhusu “grafting”, inaonyesha huyo mbwa aliondoka na big chunk of flesh/kipande kikubwa cha nyama kwenye mwili wake.
Mbwa ni wakwake lakini hawamfahamu, this is not good! This is old school.
Mzee kafa na magonjwa mtambuka japo mijibwa ndiyo iliyompeleka Muhimbili..kama Muhimbili wameshindwa kuokoa maisha ya Kingunge na majeraha aliyoyapata, wangeweza kweli kumtibu TL aliyetwangwa risasi 16?
Au alikuwa amejibadilisha kutokana na mambo yake ya mitishamba, mbwa awakumuelewaAlbadir Zinasomwa Bila Utaratibu
Huo ni utaratibu wa kizamani sana! Siyo dunia ya sasa! especially kwenye ulinzi wa nyumba ya kuishi.Hapaa ndo sijaelewaaa.. MBWAA wako afuu wasikujuee mpaka wakufate na kukuuma..????
Tenaa ukisemaa achaa tuu anaacha..!! Afuu pia inabdi hata wew baba mweny nyumba mbwa wakujuee na kukuzoeaHuo ni utaratibu wa kizamani sana! Siyo dunia ya sasa! Tena especially kwenye ulinzi wa nyumba ya kuishi. Labda ingekuwa yard huko ama site. Siyo majumbani. Hiyo ilikuwa zamani. Yani mbwa anamfahamu houseboy peke yake. Wakifunguliwa usiku, hakuna kiumbe chochote kinachotakiwa kuwa nje, labda huyo houseboy/mlinzi! Ambaye huwa anamlisha chakula na maybe training!
Ila mimi bado nashangaa, kwasababu huyo houseboy/mlinzi, bado inaonekana hao mbwa hawamsikilizi, kwasbabu kutokana na taarifa za Kinje, ilibidi watoto waamke kusaidia kuwaondoa hao mbwa kwenye mwili wa mzee Kingunge! Baada ya jitihada zake kuwazuia kushindikana! That doesn’t sound really good! Mbwa uliyemtrain wewe mwenyewe, hata awe mkali namna gani, sauti yako tu inatosha kumtuliza!
Mzee kafa na magonjwa mtambuka japo mijibwa ndiyo iliyompeleka Muhimbili
Kifo hakizuiliki mkuu, kama muda wa kufa umetimia hata Uwepo Apolo lazima kamba ikatike tu...kama Muhimbili wameshindwa kuokoa maisha ya Kingunge na majeraha aliyoyapata, wangeweza kweli kumtibu TL aliyetwangwa risasi 16?
Hata Mbwa wenyewe pia hawakuwa na Mafunzo mazuriNimesikia akizungumzia kuhusu “grafting”, inaonyesha hao/huyo mbwa aliondoka na big chunk of flesh/kipande kikubwa cha nyama kwenye mwili wake.
Mbwa ni wakwake lakini hawamfahamu, this is not good! This is old school.
Mzee hiyo avatar duh! Hata hao mbwa lazima watimue.Ndiomaana mie kwangu sitaki kusikia kitu kinachoitwa mbwa