Namna mbwa walimvyomuuma Marehemu Kingunge

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716


MY TAKE
Kama unafuga mbwa kwenye nyumba yako wawe wamefundishwa au hawajafundishwa hakikisha mbwa wanamjua kila mtu mkaazi wa nyumba yako.. maana inaweza tokea dharura watu wakapata shida.
R.I. P mzee Kingunge umeondoka lakini umetuachia mafunzo mengi katika maisha yako
 
Nimesikia akizungumzia kuhusu “grafting”, inaonyesha hao/huyo mbwa wali/aliondoka na big chunk/s of flesh, ama vi/kipande kikubwa vya/cha nyama kutoka kwenye mwili wake.

Mbwa ni wakwake lakini hawamfahamu, this is not good! This is old school!
 
Nimesikia akizungumzia kuhusu “grafting”, inaonyesha huyo mbwa aliondoka na big chunk of flesh/kipande kikubwa cha nyama kwenye mwili wake.

Mbwa ni wakwake lakini hawamfahamu, this is not good! This is old school.
hili kweli n tatizo kubwa aiseeeeeeeee
 
Nimesikia akizungumzia kuhusu “grafting”, inaonyesha huyo mbwa aliondoka na big chunk of flesh/kipande kikubwa cha nyama kwenye mwili wake.

Mbwa ni wakwake lakini hawamfahamu, this is not good! This is old school.
Hapaa ndo sijaelewaaa.. MBWAA wako afuu wasikujuee mpaka wakufate na kukuuma..????
 
Hapaa ndo sijaelewaaa.. MBWAA wako afuu wasikujuee mpaka wakufate na kukuuma..????
Huo ni utaratibu wa kizamani sana! Siyo dunia ya sasa! especially kwenye ulinzi wa nyumba ya kuishi.

Labda ingekuwa yard huko ama site ambapo kuna vibaka wa kumwaga! Siyo majumbani, tena maeneo anayoishi yeye pale Victoria/Kijitonyama kwasasa siyo hatari kihivyo...

Hiyo style ilikuwa popular zamani, siyo enzi hizi za high technology na cctv cameras kila mtu ana afford nk.

Yani mbwa anamfahamu houseboy peke yake. Wakifunguliwa usiku, hakuna kiumbe chochote kinachotakiwa kuwa nje, labda huyo houseboy/mlinzi! Ambaye huwa anamlisha chakula na maybe training!

Ila mimi bado nashangaa, kwasababu huyo houseboy/mlinzi, bado inaonekana hao mbwa hawamsikilizi!

Na hii ni kutokana na taarifa za Kinje, ambaye anasema ilibidi watoto waamke kusaidia kuwaondoa hao mbwa watatu kwenye mwili wa mzee Kingunge! Baada ya jitihada zake huyo mlinzi/houseboy kuwaita na kuwazuia hao mbwa kushindikana!

That doesn’t sound really good! Mbwa uliyemtrain wewe mwenyewe, hata awe mkali namna gani, sauti yako tu inatosha kumtuliza! Kwanini hao mbwa hawakumsikiliza huyo mlinzi?
 
Huo ni utaratibu wa kizamani sana! Siyo dunia ya sasa! Tena especially kwenye ulinzi wa nyumba ya kuishi. Labda ingekuwa yard huko ama site. Siyo majumbani. Hiyo ilikuwa zamani. Yani mbwa anamfahamu houseboy peke yake. Wakifunguliwa usiku, hakuna kiumbe chochote kinachotakiwa kuwa nje, labda huyo houseboy/mlinzi! Ambaye huwa anamlisha chakula na maybe training!

Ila mimi bado nashangaa, kwasababu huyo houseboy/mlinzi, bado inaonekana hao mbwa hawamsikilizi, kwasbabu kutokana na taarifa za Kinje, ilibidi watoto waamke kusaidia kuwaondoa hao mbwa kwenye mwili wa mzee Kingunge! Baada ya jitihada zake kuwazuia kushindikana! That doesn’t sound really good! Mbwa uliyemtrain wewe mwenyewe, hata awe mkali namna gani, sauti yako tu inatosha kumtuliza!
Tenaa ukisemaa achaa tuu anaacha..!! Afuu pia inabdi hata wew baba mweny nyumba mbwa wakujuee na kukuzoea
 
Mzee kafa na magonjwa mtambuka japo mijibwa ndiyo iliyompeleka Muhimbili

..Mzee alikuwa ICU.

..maana yake uangalizi wa Madaktari na Wauguzi ni mkubwa kuliko wodi nyingine.

..nawapenda sana Madaktari wa Muhimbili, lakini mhh...
 
..kama Muhimbili wameshindwa kuokoa maisha ya Kingunge na majeraha aliyoyapata, wangeweza kweli kumtibu TL aliyetwangwa risasi 16?
Kifo hakizuiliki mkuu, kama muda wa kufa umetimia hata Uwepo Apolo lazima kamba ikatike tu.
 
Nimesikia akizungumzia kuhusu “grafting”, inaonyesha hao/huyo mbwa aliondoka na big chunk of flesh/kipande kikubwa cha nyama kwenye mwili wake.

Mbwa ni wakwake lakini hawamfahamu, this is not good! This is old school.
Hata Mbwa wenyewe pia hawakuwa na Mafunzo mazuri

Mbwa Mwenye Mafunzo kwanza anajua Watu wa kwenye Nyumba husika kwa harufu tu Hata Kama hawamkaribii pia Mbwa wazuri huwa wanaanza kwa kukamata, kuangusha na kung'ata

Kuna Siku nilikuwa nafanya Hakika ya Mjukuu wangu Sasa Maandalizi ya Mbuzi huanza usiku Basi Mfanyakazi akajichanganya na kwenda kuwafungulia bila ya ku zingatia kuwa kuna wageni upande wa Wanawake, wale Mbwa baada ya kufunguliwa wakavamia pale uani na kufanya rabsha kadhaa lakin hawakuuma Mtu kwa kuwa wana Mafunzo niliwapeleka kule Kilwa Road na anaewahudumia pia alielekezwa namna ya kuwa handle

Usikute Katika Waliomng'ata yupo Mbwa kichaa kwa maana hawakuchomwa Sindano Muda mrefu
 
Back
Top Bottom