Mkuu we acha tu hizi mambo...unakua kama lofa flani hivi na unakua huoni value ya unachokitoa ila ukipata mzigo majuto huja...Sasa mwenzetu hata mzigo hakupata na kahudumia inauma sanaUkishakula unarudi kwene value yako gafla! Akati ulkua unanyenyekea kama haus boi
Kuchunwa na baamedi ni kosa la jinaiMbona umesema kuchunwa kwako sio ishu!?
😀..heri ya mwaka mpyaMalalamiko kama yote, lkn utakuta hata laki haijafika, eb tulia mkuu alaf uandike vzr usiwe na panic ya kuchunwa bila kupewa bumunda
Sent using Jamii Forums mobile app